Kusomeshwa namba ni kampeni tosha,mengine ni kukamilisha formality tuMmh we Mwanza iache hivyo hivyo, umesahau kwa Lowasa walideki hadi barabara, kwenye kura wakamtosa.
Halafu upinzani mnafeli kitu kimoja, nyie mna amini zaidi kampeni za majukwaani kujaza watu, mkiona nyomi mnadhani mmewini, CCM kampeni za jukwaani ni geresha tu.
Wana msemo wao wa nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda na shuka kwa shuka.
Ukali wa maneno?!?! Ni namna wewe ulivyoipokea habari...ukiwa positive hakuna ukali wa maneno hapo...ila ukiwa negative na kutafuta makosa ya JPM ndipo utaona kuna ukali wa maneno...it is about perception ...Angalia ukali wa maneno..Je maneno hayo angesema mwingine(vyama vya upinzani) wewe au watu wa mtazamo wako huwa munasema matusi!
Kwa miaka mitano nimekuwa nikisikiliza hotuba za JPM hadi nikiwa nikimuona simfuatilii nikijua ni yale yale ya kila siku. Ndege zimekuwa ndege, mradi wa umeme, reli ya umeme, viwanda, mafisadi, barabara na kunuuunua kuku na mihindi njiani.
Nilishindwa kumfuatilia zaidi hasa pale alipoamua kwa nguvu zote mchana kweupeee kuwananga wapinzani na kuonyesha ubaguzi wa wazi. Alitamka wazi kuwa yeye hapeleki maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani.
Kwa ubaguzi huu nikadhani alikuwa anaongea kisiasa kumbe alikuwa na dhamira ya kweli. Kuna siku, mama mmoja aliomba maji akaambiwa ana kiherehere na amuombe mumewe au mbunge na diwani wake aliyemchagua.
Leo yupo Ikungi anaomba ndugu wa Lissu na Lissu mwenyewe kura. Hakumbuki kwamba serikali yake ndiyo ilimunyima hela za matibabu, mshahara na kumfukuza kazi ya ubunge. Leo amejisahau.
Nilidhani atasema ni kwa nini hajatoa ajira, hajawajaongeza watumishi mishahara na kwa nini aliwaambia kuwa hakuchaguliwa ili aongeze mishahara? Mwisho niseme tu hakuna jipya ambayo nilisikia na leo ataongezea.
Mimi hata sijui,kwa sababu mbali na elimu bure ,yapo Mambo mengine, afya,makazi,chakula haha yanapatikana je,au ndio kutengeneza wanyonge wakutosha ili tufanikiwe.Hayo ameyasema raisi Pombe, muda siyo mrefu kwenye kampeni zinazoendekea mkoani Singida, nanukuu.
"Elimu ni bure, wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo."
Toa maoni je ni kweli kupanga uzazi hakuna maana kama wataalamu wanavyo shauri, hii siyo mara ya kwanza Magufuli kuwaambia watanzania kuwa zaeni, msipange uzazi.
Duh, abadilishe swaga. Mzee baba hasikilizwi anachosha na mapambio yakeAache ujinga
Tumeibiwa na nani sasa wakati yeye alikuwepo serikalini tangu wakati wa mkapa na ameshiriki kusaini hiyo mikataba ya kinyonyaji.
Sawa...jidanganyeni hivyo hivyo...lakini isije ikawa mnajenga hapa hoja ya kinachodaiwa wizi wa kura ...mnaweza kuja kulalamika kuwa mikutano ya CCM ilikuwa Haina watu Sasa inakuaje wapate ushindi wa kishindo..Tuliposema amejipitisha kwa nguvu kwenda kumsaidia Magu kwenye kampeni hatukukosea
Sasa ni aibu tupu mkutano wa waziri mkuu kukosa watu kiasi hiki
Kumbe bila wasanii hata Magufuli Hana watu.
Ni aibu mwaka huu hata mama Samia naye kakosa watu kisa kulikuwa hakuna malori ya kuwasomba
View attachment 1555613
Ameshakuwa dictator mzoefu/dictator aliyekubuhu! He is agressive supreme of power!Mwaka 2015 wagombea wa CCM maeneo mbalimbali wakati wa kampeni walipiga Sana pushap. Mwaka huu nafuatilia kampeni lakini sioni dalili za wagombea kupiga pushap?
Nini kimefanya pushap kupuuzwa awamu hii?
hiKama Mungu aliagiza hivyo na kumaanisha, ilikuwaje Adam na Hawa wakazaa watoto wawili tu? Na Ibrahim ilikuwaje azae watoto wachache licha ya kuoa wanawake wawili? Uwe unairuhusu akili yako kuwa huru unaposoma maandiko ili uyalinganishe na mazingira uliyopo na sio unasoma kikasuku!
Au ccm Ina lengo la kuongeza idadi ya ombaomba barabarani? Haiyumkini karibu ombaomba wote wanatoka Kanda pendwa
Kama Mungu aliagiza hivyo na kumaanisha, ilikuwaje Adam na Hawa wakazaa watoto wawili tu? Na Ibrahim ilikuwaje azae watoto wachache licha ya kuoa wanawake wawili? Uwe unairuhusu akili yako kuwa huru unaposoma maandiko ili uyalinganishe na mazingira uliyopo na sio unasoma kikasuku!
Au ccm Ina lengo la kuongeza idadi ya ombaomba barabarani? Haiyumkini karibu ombaomba wote wanatoka Kanda pendwa!
Haihapita nchi zote zinazotuzunguka wanahaha nayo,Ulaya Wana haha nayo, Marekani wanahaha nayo sisi hao wazima wa afya tunadunda mitaaniKiki ya Corona ilishapita