Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kufikiri kibebeeu ndio kufikiri kwa namna gani hebu niambie nijue?

Je kusema maneno yana ukakasi ndio ubeberu!

Or kumkosoa Magufuri ndio ubeberu!

Point ni kuwa maneno yana ukakasi (hasa kwa jamii iliyostaarabika)..sasa haijalishi kasema nani. Hata kama asingesema yeye Magufuri bado yangebaki kuwa na ukakasi. nyie watu muna obsession na watu wanaomkosoa Rais ingawa siyo wote wanaomkosoa wanamchukia..kukosolewa ni kumfanya mkosolewaji ajirekebishe na si vinginevyo (kwa mtazamo wangu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ameyasema raisi Pombe, muda siyo mrefu kwenye kampeni zinazoendekea mkoani Singida, nanukuu.

"Elimu ni bure, wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo."..
Hili bumunda ni tatizo kwa nchi yetu
 
Mgombea wa ccm ninakujulisha kuwa najua uwezo wako wa kukalili mambo kama kipindi kire unafundisha chemistry umepungua sanaaa nafahamu kiwango chako cha kukalili ila nmeshutushwa na wewe kushindwa kumeza Ilani nzuri ya chama cha mapinduzi...
Gamba a.k.a Mataga naona sindano zimeanza kukolea vizuri
 
Hakjna ukakasi hapo...ngono zembe ndiyo kitu...nyie mnaleta interpretation tofauti kabisa ya hoja ya JPM..Mimi sikumsikia ila maelezo ya humu inaelekea aliwaambia wannanchi waendelee kuzaa...
Halafu kingine labda unanifananisha Mimi siyo mshabiki sana wa vyama ila huwa napenda ya chama au MTU husika kama ana match na mtazamo wangu (haki,usawa na hekima).

Naweza kuacha kumuunga mkono au kutomkubali MTU au chama kama kitaenda tofauti na ninavyoamini. Kumbuka mambo au watu wanabadilika..ndio maana Mimi na-base kwenye Idea sana.

Kama kukosoa so Magufuri peke yake niliyomkosoa Bali ni MTU yeyote pale ninapopata nafasi natoa maoni yangu.

Pia Mimi sipo active sana na siasa za Tanzania isipokuwa Mara moja moja huwa nachanga Mada..kutokana na watu wengi hasa juiwaa hill kumshambulia MTU badala ya topic au Idea yake (kama ulivyonijaji wewe kwa kusema Mimi nafikra za kibeberu kisa nimemkosoa Magufuri kwa jambo ambalo halihusiani kabisa na hao unaowaita mabeberu wala hawakutajwa kwenye Mara).



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ameyasema raisi Pombe, muda siyo mrefu kwenye kampeni zinazoendekea mkoani Singida, nanukuu.

"Elimu ni bure, wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo."..
Sera za ccm ni kunyanduana tu,hata uzinduzi wa dom ulikua n kunyanduana mji ulikua unanuka mbunye tu
 
Ili nchi iwe tajir pia idadi ya watu ina husika Tanzania tuna mapori mengi sana ambayo hayatumiki ili yatymike walau tufike million 120 hivi
 
Niliposoma tu hii kauli mbiu ya mwenyeketi wa CCM, nikakumbuka mikesha ya mwenge!
 
Hayo ameyasema raisi Pombe, muda siyo mrefu kwenye kampeni zinazoendekea mkoani Singida, nanukuu.

"Elimu ni bure, wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo."..
Alete kanza laptop kila mwalimu halafu ndio alete hayo
 
Naona kama watu wanamfuata fuata hivi kila anakokwenda! Ana nini Huyu? Walikuwepo Wengi wa namna yake,akina mrema,Slaa,Lowasa na sasa yeye.Tumemwona Kule Singida,Mbeya,Morogoro,Segerea,Arusha na sasa Mwanza.Na watu wamehamasika kweli.Kulikoni?Kwani mgombea wetu kakosea wapi?
 
Ningekuwa ndyo Mwenyekiti wa CCM, Rais JPM..hivi sasa kibarua cha Polepole kingeota nyasi.

Haiwezekani tutumie mabilion kukusanya nyomi alafu mpinzani hana msanii hata mmoja na hatangazwi kwenye vyombo vya habari ila anakusanya nyomi kuzidi ya Baba mwenye nchi.

Hii kibinafsi nisingekubaliana nalo.. inawezekana watu wanamuhujumu Rais Magufuli makusudi.

Hawa wakina pole pole ndyo walishaur Uwepo wa wasanii ambao hawana hata mvuto hivi sasa. Bora wangekuja na mbinu ya Hashim Rugwe ya ubwawa.
 
Wenu aliwekeza kwenye vitu akasahau siasa ni watu, sasa anavuna alichopanda kwa miaka 5.
 
Tuliahidi & tumetekeleza.

Ujenzi wa vihenge (silos) sita kwa gharama ya Tsh bilioni 15 mkoani Shinyanga.
Utaongeza uhifadhi wa mazao kwa mwaka kutoka tani 14,500 - 44,500

 
Wakuu,naomba ufafanuzi wa hayo madubwasha,naona ni pesa nyingi sana zinateketea hapo. Je, yanastahili pesa yote hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…