Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuonjeshwa sasa tunaenda kula tu.Moja ya kauli anazoongea mgombea uraisi kupitia CCM ni kuwa muhula wa kwanza wa uongozi wake alikuwa anatuonjesha, je miaka mitano ijayo endapo atachaguliwa, itakuwaje?
-Maslahi ya watumishi yatakuwaje?
-Ajira zitakuwa katika hali gani?
-Je, wakulima na wafanyabiashara wategemee nini?
-Wananchi kwa ujumla tutakuwa katika hali gani iwapo kwa miaka hii mitano inayoisha tuko hivi tulivyo?
Angalia matokea ya advanced level mwaka huu wewe kapuku acha ubishi
Nilikuona mkuu..ukiwe biz unatupia vitu jamvini. Tukabdilishana mawili matatu ya kupeana shime. Hakika wewe ni mtu mwema tofauti kabisa na uzi zako humu jamvini. Lakini unaeleweka.Kwa aliyeko uwanjani njoo hapa jukwaa la wasanii tufahamiane
Dah... Bila ubwabwa? Kweli?[emoji2960]Mkuu hakuna mwaka rahisi km huu tunapiga kampeni huku tukila bata
Yaani kampeni inapigwa huku mkipata burudani
Nilikuona mkuu..ukiwe biz unatupia vitu jamvini. Tukabdilishana mawili matatu ya kupeana shime. Hakika wewe ni mtu mwema tofauti kabisa na uzi zako humu jamvini. Lakini unaeleweka.
Ungekuwa sio Kapuku ungeweka ushahidi wa matokeo unayoyasema hapa janvini!! I challenge you to do that!
Dah... Bila ubwabwa? Kweli?[emoji2960]
Msanii gani amefunika wenzake?Jamuhuri imetapika kampeni ya kisayansi
View attachment 1556496View attachment 1556498View attachment 1556499View attachment 1556501
Mkoa wenye wabunge maarufu Tanzania
Hapa jamhuri kampeni zinapigwa huku watu wakila bata uwanjani
Moja ya kauli anazoongea mgombea uraisi kupitia CCM ni kuwa muhula wa kwanza wa uongozi wake alikuwa anatuonjesha, je miaka mitano ijayo endapo atachaguliwa, itakuwaje?
-Maslahi ya watumishi yatakuwaje?
-Ajira zitakuwa katika hali gani?
-Je, wakulima na wafanyabiashara wategemee nini?
-Wananchi kwa ujumla tutakuwa katika hali gani iwapo kwa miaka hii mitano inayoisha tuko hivi tulivyo?
Moja ya kauli anazoongea mgombea uraisi kupitia CCM ni kuwa muhula wa kwanza wa uongozi wake alikuwa anatuonjesha, je miaka mitano ijayo endapo atachaguliwa, itakuwaje?
-Maslahi ya watumishi yatakuwaje?
-Ajira zitakuwa katika hali gani?
-Je, wakulima na wafanyabiashara wategemee nini?
-Wananchi kwa ujumla tutakuwa katika hali gani iwapo kwa miaka hii mitano inayoisha tuko hivi tulivyo?
Ile kauli yake kwamba tutalima kwa meno ndo inakwenda kutimiaMoja ya kauli anazoongea mgombea uraisi kupitia CCM ni kuwa muhula wa kwanza wa uongozi wake alikuwa anatuonjesha, je miaka mitano ijayo endapo atachaguliwa, itakuwaje?