Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Ninafikiri itapendeza zaidi ukiweka walau paragraph nzima ili tuweze ku-grasp alichokuwa anakimaanisha. Siyo hicho kimstari kimoja.
 
Moja ya kauli anazoongea mgombea uraisi kupitia CCM ni kuwa muhula wa kwanza wa uongozi wake alikuwa anatuonjesha, je miaka mitano ijayo endapo atachaguliwa, itakuwaje?

-Maslahi ya watumishi yatakuwaje?
-Ajira zitakuwa katika hali gani?
-Je, wakulima na wafanyabiashara wategemee nini?
-Wananchi kwa ujumla tutakuwa katika hali gani iwapo kwa miaka hii mitano inayoisha tuko hivi tulivyo?
Baada ya kuonjeshwa sasa tunaenda kula tu.
Lisu atapewa kazi ndogondogo kama kusimamia uwanja wa ndege CHATO au ukurugenzi wa mbuga mpya ya Burigi.
 
Tarajieni mabaya zaidi
- tutatekwa na kupotezwa zaidi
- bodi ya mikopo walio kopa watakatwa asilimia kubwa zaidi
- kikotoo kinacho wapunja wastaafu kitaanza kutumika rasmi
- fao kujitoa hilo lisahauike kabisa
- wapinzani watahamishwa nchini, watakao kaidi risasi zitawahusu.
- watumishi wa umma wasahau nyongeza za mishahara
- ukomo wa raisi kuongoza mihula 2 itaondolewa.
 
Hiki ni kithibitisho kuwa wabunge hawachaguliwi na wananchi, wanateuliwa na remote ya Rais kupitia tume. Ntawashangaa CDM msipotunza ushahidi huu muhimu kwenye mafaili.
 
Kwa aliyeko uwanjani njoo hapa jukwaa la wasanii tufahamiane
Nilikuona mkuu..ukiwe biz unatupia vitu jamvini. Tukabdilishana mawili matatu ya kupeana shime. Hakika wewe ni mtu mwema tofauti kabisa na uzi zako humu jamvini. Lakini unaeleweka.
 
Tafsiri yake ni hii hapa;
- Kama alitumbua wa vyeti fake sasa atatumbua bila kujali unacho cheti au la
-Kama watumishi wa umma wanafurahia maslahi yao basi maslahi itaongezwa lakini kama wanaugulia maumivu wajiandae kukiona cha moto zaidi.
-Pesa mtaani haitaonekana kiasi kwamba ukionekana una elfu kumi mkononi utahojiwa TAKUKURU
 
Anaweza akawabana chamani... M/kiti akikufukuza chamani unaweza kuendelea kuwa mbunge?
 
Nilikuona mkuu..ukiwe biz unatupia vitu jamvini. Tukabdilishana mawili matatu ya kupeana shime. Hakika wewe ni mtu mwema tofauti kabisa na uzi zako humu jamvini. Lakini unaeleweka.
Daah umemuona Bia yetu, huwa nafikiria Bia yetu ni Polepole​
 
Acha umaku ww ungepona kwa hizo za plastic ? Achen upuuzi kwa kutetea ugali wa wachache ikiwa wengi raia wanalia njaa achen wananchi sasa tuamue yetu kama wajumbe
 
Maiti za Makangomba zitafanywa ndio mbolea ya Korosho
 
Moja ya kauli anazoongea mgombea uraisi kupitia CCM ni kuwa muhula wa kwanza wa uongozi wake alikuwa anatuonjesha, je miaka mitano ijayo endapo atachaguliwa, itakuwaje?

-Maslahi ya watumishi yatakuwaje?
-Ajira zitakuwa katika hali gani?
-Je, wakulima na wafanyabiashara wategemee nini?
-Wananchi kwa ujumla tutakuwa katika hali gani iwapo kwa miaka hii mitano inayoisha tuko hivi tulivyo?

Kuingia uhuru wetu na haki zetu zimepokwa.

Anataka miaka mitano mingine kuendeleza ukandamizaji? Big NO!
 
Moja ya kauli anazoongea mgombea uraisi kupitia CCM ni kuwa muhula wa kwanza wa uongozi wake alikuwa anatuonjesha, je miaka mitano ijayo endapo atachaguliwa, itakuwaje?

-Maslahi ya watumishi yatakuwaje?
-Ajira zitakuwa katika hali gani?
-Je, wakulima na wafanyabiashara wategemee nini?
-Wananchi kwa ujumla tutakuwa katika hali gani iwapo kwa miaka hii mitano inayoisha tuko hivi tulivyo?

Tumesha mwonja na ladha yake tunaifahamu. Sasa ni jukumu la kila mmoja mmoja kufanya maamuzi kwenye sanduku la kura ili kubadilisha ladha.
 
Moja ya kauli anazoongea mgombea uraisi kupitia CCM ni kuwa muhula wa kwanza wa uongozi wake alikuwa anatuonjesha, je miaka mitano ijayo endapo atachaguliwa, itakuwaje?

-Maslahi ya watumishi yatakuwaje?
-Ajira zitakuwa katika hali gani?
-Je, wakulima na wafanyabiashara wategemee nini?
-Wananchi kwa ujumla tutakuwa katika hali gani iwapo kwa miaka hii mitano inayoisha tuko hivi tulivyo?
Ile kauli yake kwamba tutalima kwa meno ndo inakwenda kutimia
 
Back
Top Bottom