Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Watuwachie nchi yetu iliyo wachiwa jina zuri na hayati baba wa taifa mwl JK Nyerere la kisiwa cha AmaniHawa wote kwa umoja wao hawafai
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watuwachie nchi yetu iliyo wachiwa jina zuri na hayati baba wa taifa mwl JK Nyerere la kisiwa cha AmaniHawa wote kwa umoja wao hawafai
Ndio huyo huyo na sasahivi yupo kwenye kukazia ukweli kuhusu watu wa bunda kuchagua Upinzani.Huyu mbaguzi?
Kuna makosa mengi sana wamefanya matrillioni hayajulikani yalipo, mauaji nk ndio chanzo cha woga huu.Hii imekuwa Ni tabia ya CCM kwamba kila inapofikia hatua ya wananchi kuwachagua viongozi kwa kwa njia ya kupiga kura wao wanaingilia na kuvuruga vuruga haki za wananchi, hili lina leta ukakasi kwa namna flani.
Jambo la kuji uuliza kwanini uoga umekuwa mkubwa kwa kiwango hiki ?
Watu wliojenga mabarabara, reli, elimu bure, zahanati kila kata, makusanyo makubwa ya Kodi,ununuzi wa ndege, nk. Mbona Wana mengi ya kuongea mbele za wananchi?.
Basi inatia mashaka kuwa huwenda ndani ya utekelezaji wa miradi yote hiyo kuna UHUJUMU UCHUMI na wizi uliokithiri.
Wamezuia mikutano ya wapinzani kwa miaka 5, ili wapinzani wasinitanueRais tuliyenae ni Muoga sana wa sanduku la kura, si mtu wa democrasia.
Miaka yote hata akiwa mbunge amekuwa na njama za kupita bila kupingwa kwa ujanja ujanja.
Ametengeneza hiyo hofu hadi akiwa rais na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.
Tumeona kwenye chaguzi za marudio CCM ikimwaga hadi dam mladi ishinde.
. Tumeshuhudia kununua wapinzani kwa kusingizia kuunga juhudi.
.Tumeshuhudia uchaguzi wa selikali za mitaa.2019 na zile rafu hadi upinzanj kjjitoa.
.Vitisho kwa wakurugenzi kuwa watakiona cha moto endapo watamtangaza mpinzani ameshinda.
.
Lisu afanyi kazi za masimango,hizo zinafanywa na wenye njaa ya matumbo na akili.Hakuna CCM anayeogopa.. Wana CCM wote wanatembea vifua mbele.. Baada ya uchaguzi kwisha Lissu itabidi achague kukubali kazi (na bata) atayopewa na Magufuli au kurudi Singida kulima alizeti... Akumbuke ana mke na watoto...
Wamezuia mikutano ya wapinzani kwa miaka 5, ili wapinzani wasinitanue....
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli akataa kumsikiliza mama mmoja aliyetaka kuongea wakati akinadi sera zake mkoani Simiyu akiwa safarini kuelekea Mkoani Mwanza
Magufuli amesema ni lazima wananchi wajue kuwa wapo viongozi wa mkoa na wilaya ambao wanaweza kuwaona ili kuwatatulia matatizo yao. Katika mkutano huo amemtaka awaone Mkuu wa Mkoa ili apewe haki yake
Magufuli amesema hata kwenye mkutano wako viongozi wengi, haiwezekani kila anapofika yeye ndio wenye shida waende kwake, amesema wengine wanataka kuwavuruga katika mkutano wao
UmetishaHuyo Mama alikuwa na jogoo au alienda hivi hivi?
Anaposea kuna viongozi ambao wanaweza kuwatatulia watu matatizo yao, je yule jogoo mbona akusema apewe kiongozi wa mtaa au mkoa?
NB: Kwa kauli hiyo mimi naamini tu kuwa hao waliosemwa kuwa wao ndo wanapaswa kutatua tatizo hilo watachukua hatua za kutatua hilo tatizo.