Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Alishalikoroga togwa tangu mwanzo! Aendelee tu mwenyewe kulinywa. Hakuna sababu ya kuwasukumizia wengine.
Si unajua nyani aoni....................................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishalikoroga togwa tangu mwanzo! Aendelee tu mwenyewe kulinywa. Hakuna sababu ya kuwasukumizia wengine.
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli akataa kumsikiliza mama mmoja aliyetaka kuongea wakati akinadi sera zake mkoani Simiyu akiwa safarini kuelekea Mkoani Mwanza
Magufuli amesema ni lazima wananchi wajue kuwa wapo viongozi wa mkoa na wilaya ambao wanaweza kuwaona ili kuwatatulia matatizo yao. Katika mkutano huo amemtaka awaone Mkuu wa Mkoa ili apewe haki yake
Magufuli amesema hata kwenye mkutano wako viongozi wengi, haiwezekani kila anapofika yeye ndio wenye shida waende kwake, amesema wengine wanataka kuwavuruga katika mkutano wao

Sio kiongozi msikivu tuamue haki October.
Magufuli amesema ni lazima wananchi wajue kuwa wapo viongozi wa mkoa na wilaya ambao wanaweza kuwaona ili kuwatatulia matatizo yao. Katika mkutano huo amemtaka awaone Mkuu wa Mkoa ili apewe haki yake
Magufuli amesema hata kwenye mkutano wako viongozi wengi, haiwezekani kila anapofika yeye ndio wenye shida waende kwake, amesema wengine wanataka kuwavuruga katika mkutano wao
Watoto wamekuja kuona magari na wasanii hapo hakuna kura.Mikutano mingi ya CCM imejaa watoto. Hivi hawa watoto CCM huwa mnawatoa wapi? Angalia walivyo jazana hapo kwenye kampeni za CCM.
Ni muda wa kutunga sheria ya kuwazuia watoto wasishiriki kwenye mikutano ya kisiasa hasa katika kipindi hiki cha kampeni.
Ipo siku mgombea atakuja kujikuta anahutubia watoto.
View attachment 1560297
Wasukuma wanatakiwa kufunzwa wanapowaona kwenye Tv watu wanaleta 'shida' halafu "zinatatuliwa" na mhishimiwa mikutanoni tayari wanakuwa na script na wameshafanya rehearsal ya kutosha tu ndio maana na vibunda vinakuwepo. Angemuacha tu aeleze "mafanikio" ya utawala wake ndani ya miaka 5 iliyopita, kwani wale wengine anapowakubalia kunakuwa hakuna viongozi kwenye maeneo husika?Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli akataa kumsikiliza mama mmoja aliyetaka kuongea wakati akinadi sera zake mkoani Simiyu akiwa safarini kuelekea Mkoani Mwanza
Magufuli amesema ni lazima wananchi wajue kuwa wapo viongozi wa mkoa na wilaya ambao wanaweza kuwaona ili kuwatatulia matatizo yao. Katika mkutano huo amemtaka awaone Mkuu wa Mkoa ili apewe haki yake
Magufuli amesema hata kwenye mkutano wako viongozi wengi, haiwezekani kila anapofika yeye ndio wenye shida waende kwake, amesema wengine wanataka kuwavuruga katika mkutano wao
Magufuli kila anapopita,kama vile Hitra alipopita Poland majeshi yalijisalimisha, kwa nini aendelee kujichosha wakati yale aliyoyafanya yananena.!!!
Kama ni lazima kupita kwa wananchi zungumza maneno machache ; AHSANTE KWA MIAKA MITANO MINGINE NITAENDELEA KUFANYA NA KUFANYA ZAIDI.
Kwa huu upumbavu ulioandika ungekuwa karibu ningekuzaba makofiMagufuli kila anapopita,kama vile Hitra alipopita Poland majeshi yalijisalimisha, kwa nini aendelee kujichosha wakati yale aliyoyafanya yananena.!!!
Kama ni lazima kupita kwa wananchi zungumza maneno machache ; AHSANTE KWA MIAKA MITANO MINGINE NITAENDELEA KUFANYA NA KUFANYA ZAIDI.
😂 😂 😂 😂 😂 😂Yaan kwa upumbavu huu ushaingiza siku?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]