Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Wivu tu. TZ ongea lugha yoyote. Utanaka tuwe tunaongea viingeleza Kama Ubelgiji?

Kusukuma ni Kanda ya Ziwa..

Mkikosa kabsa Sera mnataka Hadi watu waache kuwasiliana kwa ukaribu?

Mtu anaongea na watu wa Mwanza unataka hadi wewe uelewe?
 
Tunahisi kubaguliwa sisi tusioelewa kilugha hicho. Tunamwomba aongee lugha rasmi Kiswahili ili na sisi wengine tumwelewe.
 
Unahangaika kweli wewe mwanasaccos naona umeanzisha thread nyingine inayowahusu wasukuma!
 
Wivu tu. TZ ongea lugha yoyote. Utanaka tuwe tunaongea viingeleza Kama Ubelgiji?

Kusukuma ni Kanda ya Ziwa..

Mkikosa kabsa Sera mnataka Hadi watu waache kuwasiliana kwa ukaribu?

Mtu anaongea na watu wa Mwanza unataka hadi wewe uelewe?
Kwa hiyo Wakazi wote wa Mwanza ni Wasukuma?? Ninyi ndiyo mnaosababisha haya mambo ya kipuuzi yanayofanywa na Bw. Yule. Badala ya kukemea arudi kwenye mstari mnapotosha kwa kumpamba kwa maneno ya kipuuzi. Huko mbeleni tusilaumiane.
 
Ni mlemavu Wa akili tu ndiye anayeweza kuamini kwamba Lisu atakuwa Raiis
 
Tumkatae magufuli kwa kuendekeza ukabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…