JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Wivu tu. TZ ongea lugha yoyote. Utanaka tuwe tunaongea viingeleza Kama Ubelgiji?Kila nikijaribu kufuatilia kampeni za mgombea wa CCM huko kanda ya ziwa nashindwa kuelewa kutokana na kilugha kinachoongelewa huko TBC.
Kwa maoni yangu tumerudi nyuma miaka 80 wakati kila kabila likiongea lugha yake Tanzania.
Tufanye nini tuondokane na hali hii? Jambo hili ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu.
Kusukuma ni Kanda ya Ziwa..
Mkikosa kabsa Sera mnataka Hadi watu waache kuwasiliana kwa ukaribu?
Mtu anaongea na watu wa Mwanza unataka hadi wewe uelewe?