Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kwahiyo hapo ni kituo cha kura?
 
Kama nyie Wasukuma wa Mara, Simiyu, Mwanza, Shy, Geita na Kagera hamuelewi Kisukuma cha Mwenyekiti wa Chama chenu, itakuwaje atakapokwenda kufungua kampeni Mikoa ya Kusini ambako walimfukiza karibuni akakimbia bila kugeuka nyuma? Labda Mwenyekiti mpendwa ni mtalaamu wa Kihutu cha kule, hajui Kisukuma cha huku!
 
Kwani ulilazimishwa kufuatilia mikutano ya ccm? Wewe fuatilia wa Savimbi huko
 
Kwani ulilazimishwa kufuatilia mikutano ya ccm? Wewe fuatilia wa Savimbi huko
Mimi ni mtanzania nataka kujua sera za mgombea urais wa Tanzania sasa nashindwa kwani lugha anayozungumza siielewi na sio Kiswahili wala Kiingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…