Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Tukiangazia mvuto wa CCM kupitia wasanii vijana tunaona ni namna gani imeweza kuwateka vijana kupitia vijana wenzao waliojiajiri kupitia sanaa.
Ukiangalia idadi ya wasanii walioiunga mkono CCM unapata picha ya mashabiki wa CCM vijana wataokaompigia kura JPM.
Kwahiyo hapo ni kituo cha kura?
 
Kila nikijaribu kufuatilia kampeni za mgombea wa CCM huko kanda ya ziwa nashindwa kuelewa kutokana na kilugha kinachoongelewa huko TBC.

Kwa maoni yangu tumerudi nyuma miaka 80 wakati kila kabila likiongea lugha yake Tanzania.

Tufanye nini tuondokane na hali hii? Jambo hili ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu.
Kama nyie Wasukuma wa Mara, Simiyu, Mwanza, Shy, Geita na Kagera hamuelewi Kisukuma cha Mwenyekiti wa Chama chenu, itakuwaje atakapokwenda kufungua kampeni Mikoa ya Kusini ambako walimfukiza karibuni akakimbia bila kugeuka nyuma? Labda Mwenyekiti mpendwa ni mtalaamu wa Kihutu cha kule, hajui Kisukuma cha huku!
 
Kila nikijaribu kufuatilia kampeni za mgombea wa CCM huko kanda ya ziwa nashindwa kuelewa kutokana na kilugha kinachoongelewa huko TBC.

Kwa maoni yangu tumerudi nyuma miaka 80 wakati kila kabila likiongea lugha yake Tanzania.

Tufanye nini tuondokane na hali hii? Jambo hili ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu.
Kwani ulilazimishwa kufuatilia mikutano ya ccm? Wewe fuatilia wa Savimbi huko
 
Kwani ulilazimishwa kufuatilia mikutano ya ccm? Wewe fuatilia wa Savimbi huko
Mimi ni mtanzania nataka kujua sera za mgombea urais wa Tanzania sasa nashindwa kwani lugha anayozungumza siielewi na sio Kiswahili wala Kiingereza.
 
Shughuli ni leo asubuhi tafadhali mkumbushe Mwenzako
Screenshot_20200906-221536.jpg
FB_IMG_15994194878567030.jpg
 
Back
Top Bottom