Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Hahahahaha. Mchakato wa kumwagia manii baharini Naona upo kwenu. Kwa wastaarabu na waungwana kwetu sie haupo na haiwezekani kwa Mwenye akili timamu....

We ni mzigo kwa taifa hili..hata waliokuzaa hawajivunii kuwa na mtoto kama wewe...unaficha identity ila ubovu wa akili yako huwezi uficha na tumeuona
 
Nikiwa kijiji kwetu 2000 wakati huo hata hadhi ya kuwa kijiji ilikuwa bado wakati wa kampeni CCM waliwaambia wanachi kuwa kuchagua chama pinzani ni sawa na kuchagua vurugu na nchi ikiingia kwenye machafuko wamama na watoto ndio watakaopata shiida...
Tumegeuka mazwazwa ...ccm kuna watu wengi sana wa kufunga hadi zimbambwe iingie uchumi wa kati
 
Haya maneno nimewahi kumsikia akiyasema tangu alipokuwa Waziri ktk Serikali ya JK.

Kama mtakumbuka zile hotuba zake maarufu za " aliselema. "...
Most likely hahawezi kubomoa, ila hawataweza kuyaendeleza kama wanaona kuwa hayo ni "maendeleo ya vitu tu." Pesa zitarudi kwenye trip za kwenda nje za kutafuta wafadhili, na kuacha wafanyabiashara wa ndani kula bata.
 
Wapinzani sio wehu kiasi hicho ndege wakazikate scrapper, ila wananchi ndio wehu kiasi hicho kuamini maneno yake.

Ameshatoa maneno/ahadi ngapi 2015 zikawa za uongo? Ambazo hajatimiza?. FACT, anatafuta huruma kwa wananchi ambao yeye hana huruma nao.
 
Ndio Vilaza huongea hivyo
Kwahiyo mamako anaipigia kura CCM
Je Naye unamwitaje
We mbwa hakuna maccm kwetu...... Maccm ni wajinga km ww na familia yako mnaotafuta vyeo huku mkiwaua watz na kuharibu uchumi wa nchi
 
Hana lolote. Watu wa kusini wana jambo lao. Mpaka leo, maelfu hawajalipwa pesa zao za mauzo ya korosho.
 
Sasa ww km unaakili timamu unaendaje ccm iliyoharibu nchi miaka 5 tu... Acha kua msukule wa lumumba ww choko
Hasira zako za ki vyeti feki achana nazo, utaharibikiwa zaidi, tulia kijana, piga shule, elimu haina mwisho,

Unadhani unapata faida gani kutukana watu wewe? Kaa makini kijana
 
Hakuna mtu Mwenye akili timilifu akwapa kura Mbunge na mgombea urais.

CCCM imepoteza uhalali wa kushika dola.
 
Ndugu yangu JK, yaani mambo mengine tunajikuta tu tumeangua kicheko kana kwamba ni mazuri!!

Binafsi huwa nashindwa kumsikiliza kabisa... kila ninapojaribu kumsikiliza anachoongea, mara nyingi nashindwa kumaliza hata dakika moja kumsikiliza!

Nakumbuka wakati nipo A-Level, kwa nature ya comb yangu mara kwa mara nilikuwa najiuliza "hivi kama si kusoma GS (or DS?), mbona tunaosoma hizi combination tungekuwa vilaza sana with what's going on duniani!!!

I doubt kama Magu alikuwa anaingia kwenye vipindi vya DS/GS manake uelewa wake kwa general issues ni mdogo kupita maelezo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…