Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu mna uhakika wa kuiba kura hilo halina shida hata asiposhinda atakuwa kawapa somo ccm la kutosha kwamba hii nchi sio ya mtu mmojaMtu yeyote anayeamini Lissu anaweza kushinda uchaguzi huu na kuwa Raisi wa nchi hii akapimwe akili haraka sana.
Labda Unguja!Nashauri chadema nao pia wamuachie salum mwalimu baadhi ya sehemu aende akafanye kampeni mwenyewe
hatojaza hata watazamaji 100Nashauri chadema nao pia wamuachie salum mwalimu baadhi ya sehemu aende akafanye kampeni mwenyewe
Kampeni zimeanza kunoga!Singida Magufuli amesema mkiwachagua wale wanaotukana watakata kata ndege na kufanya mascrepa. Magufuli unamuona Lissu ni mtu wa kukata kata ndege au una Lissu phobia?
Wapo wapo tu mradi siku ziende. Wako na stress za kufa mtu hadi wanakatana mitama mbele ya Rais.Hiki chama mkiambiwa kimelaaniwa mnapinga, kadiri wanavyolazimisha wananchi wawapende ndio wanazidi kuchukiwa kiasi ya wao kujipanga kwa kuiba kura,kuengua wagombea na hila kibao,na hawana wanalopata zaidi ya kula hasara,
Imeshajulikana CCM watapata sio kura zaidi ya asilimia 23, muungano wa suprise umepewa kura asilimia 69 na zilizobaki ni kwa vyama viliobakia kama asilimi 7,11.
Kujua kwingi kwa CCM sasa imewafanya wananchi wote kuhudhuria mikutano yao isio na tija hivyo huwazuga watu na kuwawekea wasanii wa midumange,hawana jipya, ibada yao ni ngoma kama wanaoabudu mizimu, wamekusanya wasanii kila rangi, sijui kuna aliewambia waTanzania wanashida na wasanii wasio jielewa maana wasanii wote kama hawajiamini ila si bure lazima kuna kitu kilichojificha ndani ya wasanii wao, kura zao ndio bakora ya kuipiga CCM kuwakomesha kuwangaisha kwata.
Kusema kweli wasanii hawana raha ,zaidi ya hofu na woga,hilo hawawezi kulikataa ndani ya mioyo yao,wapo hapo kwa kuogopa kazi zao kuvurundwa na CCM ,CCM ni mahasidi sana.
We are gifted👍👍
Wanajaribu kusogeza muda tu lakini hawatatoboaWamechokwa sana neo maana wanatumia nguvu kubwa sana
Ni Yeye 2020We are gifted👍👍
Nashauri chadema nao pia wamuachie salum mwalimu baadhi ya sehemu aende akafanye kampeni mwenyewe
Ratiba ya NEC inaonyesha baada ya zanzibar Mwalimu na Lissu wanagawana majimbo wanakuja kukutania Mpanda/Kigoma mwishoni huko.A very well organised campaign strategy yaani wakati Mh Rais John Pombe Magufuli akitingisha Mkoa wa Singida na viunga vyake...kule mji kasoro bahari Mama Samia Suluhu anainadi ilani ya CCM akiwa kama kielelezo cha uwezo wa wanawake katika Siasa.
#Tulionjeshwatu
Rais mpya mwenye maono. Mkombozi wa taifa hili.