Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Nguvu kubwa wanayoitumia kuutafuta ushindi tena kwa hila inaonesha wazi jinsi gani walivyo shindwa
😊
 
Mtu yeyote anayeamini Lissu anaweza kushinda uchaguzi huu na kuwa Raisi wa nchi hii akapimwe akili haraka sana.
Kwa sababu mna uhakika wa kuiba kura hilo halina shida hata asiposhinda atakuwa kawapa somo ccm la kutosha kwamba hii nchi sio ya mtu mmoja
 
Huku mtaani hata mabalozi wa vyama vingine hawatakiwi at wanahitaji wa ccm bila kuangalia wananchi wanahitaji kiongozi bora na si chama bora
 
1598951597072.png
 
IMG_20200901_123722.jpg

A very well organised campaign strategy yaani wakati Mh Rais John Pombe Magufuli akitingisha Mkoa wa Singida na viunga vyake...kule mji kasoro bahari Mama Samia Suluhu anainadi ilani ya CCM akiwa kama kielelezo cha uwezo wa wanawake katika Siasa.
Na kuna uwezekano wakakutana Kuifunga Siku pale Singida

Hii style ya leo itaitwa kipago cha manati...HA HA HA AHA!!

#Tulionjeshwatu
 
Singida Magufuli amesema mkiwachagua wale wanaotukana watakata kata ndege na kufanya mascrepa. Magufuli unamuona Lissu ni mtu wa kukata kata ndege au una Lissu phobia?
 
Hiki chama mkiambiwa kimelaaniwa mnapinga, kadiri wanavyolazimisha wananchi wawapende ndio wanazidi kuchukiwa kiasi ya wao kujipanga kwa kuiba kura,kuengua wagombea na hila kibao,na hawana wanalopata zaidi ya kula hasara,

Imeshajulikana CCM watapata sio kura zaidi ya asilimia 23, muungano wa suprise umepewa kura asilimia 69 na zilizobaki ni kwa vyama viliobakia kama asilimi 7,11.

Kujua kwingi kwa CCM sasa imewafanya wananchi wote kuhudhuria mikutano yao isio na tija hivyo huwazuga watu na kuwawekea wasanii wa midumange,hawana jipya, ibada yao ni ngoma kama wanaoabudu mizimu, wamekusanya wasanii kila rangi, sijui kuna aliewambia waTanzania wanashida na wasanii wasio jielewa maana wasanii wote kama hawajiamini ila si bure lazima kuna kitu kilichojificha ndani ya wasanii wao, kura zao ndio bakora ya kuipiga CCM kuwakomesha kuwangaisha kwata.

Kusema kweli wasanii hawana raha ,zaidi ya hofu na woga,hilo hawawezi kulikataa ndani ya mioyo yao,wapo hapo kwa kuogopa kazi zao kuvurundwa na CCM ,CCM ni mahasidi sana.
Wapo wapo tu mradi siku ziende. Wako na stress za kufa mtu hadi wanakatana mitama mbele ya Rais.
 
Kila mtu ana staili yake ya kupiga campein.
CCM wanatumia rasilimaliza Dola.
Upinzani unatoa fedha mifukoni mwao.
Huwezi linganisha kamwe.
CCm wanapiga campeni kama erikali wakiandamana na Protokali ya Polisi ,usalam wa taifa na jeshi la ulinzi.
Upinzania wanategemea mabaunsa, hawana hata mgambo, na pia figisu za Mapolisi zikiwa zina wasubiri njiani.
 
Nashauri chadema nao pia wamuachie salum mwalimu baadhi ya sehemu aende akafanye kampeni mwenyewe
A very well organised campaign strategy yaani wakati Mh Rais John Pombe Magufuli akitingisha Mkoa wa Singida na viunga vyake...kule mji kasoro bahari Mama Samia Suluhu anainadi ilani ya CCM akiwa kama kielelezo cha uwezo wa wanawake katika Siasa.

#Tulionjeshwatu
Ratiba ya NEC inaonyesha baada ya zanzibar Mwalimu na Lissu wanagawana majimbo wanakuja kukutania Mpanda/Kigoma mwishoni huko.

So sio strategy mpya ila vyama vyote vimefanya hivyo kwenye ratiba.

Strategy hasa nmeiona CUF wao takriban 40% ya kampeni ni Mtwara,lindi na Ruvuma yaani Kata kwa kata hawaachi mtu maana ndio pekee wanapoweza kupata chochote.

CHADEMA pia tulishauri Lissu atumie cku nyingi zaidi kwenye ngome zake kuliko kupita mfano Mbeya kwa cku moja majimbo 4.

Nadhani ratiba ya october ita consider hilo
 
Back
Top Bottom