Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Atakuwa amechoka sana, maana yeye kampeni ni kama anarudia!!
 
Nashauri chadema nao pia wamuachie salum mwalimu baadhi ya sehemu aende akafanye kampeni mwenyewe
Strategy ya CDM ni kuzunguka kanda zote then wanarudi Dar kuanza kampeni Rasmi.Wiki ijayo nadhani kila mtu atachanja mbuga upande tofauti
 
56985613-C82D-43F7-B5C1-6031106F2378.jpg
2471012_FB_IMG_1596122219075.jpg
IMG_20200901_132224.jpg

#JOGOOJEMBE
 
Kwani fedha mlizokuwa mnawakata wabunge wenu mmepeleka wapi??
mtajijua na shida zenu sisi tupo #kazini
WEWE AKILI YAKO NI NDOGO KAMA YA MKASI AMBAO ILI UFANYE KAZI LZM UKU NYUMA U...
 
Strategy ni kuzunguka kanda zote? Dsm mbona wamefanya tayari sehemu 3?? Wapo mwanza leo, na kesho shinyanga na baada ya shinyanga ni geita, hizo zote ni kanda moja
Strategy ya CDM ni kuzunguka kanda zote then wanarudi Dar kuanza kampeni Rasmi.Wiki ijayo nadhani kila mtu atachanja mbuga upande tofauti
 
TIASSA,
Mama kwanza anahitaji chakula Bora ili aweze kunyonyesha. Au itabidi na hao watoto walishwe maziwa tu mpaka waozeshwe wake?
 
Kama watoto walikua wanalelewa na serikali ni ruksa kuzaa unavyotaka.
 
Anatarajiwa kuwasilisha katika majimbo zaidi ya manne ndani ya masaa nane
 
Singida Magufuli amesema mkiwachagua wale wanaotukana watakata kata ndege na kufanya mascrepa. Magufuli unamuona Lissu ni mtu wa kukata kata ndege au una Lissu phobia?
Sasa Lisu unamuona ana akili yule?
 
Nashauri chadema nao pia wamuachie salum mwalimu baadhi ya sehemu aende akafanye kampeni mwenyewe
Kama lisu anakosa watu , huyo mwalimu ataenda kuhutubia mawe , miti na nyumba.
Mama Samia pekee anaweza kuisimamisha show na mkoa ukatikisika.
 
Back
Top Bottom