Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Tatizo kubwa walilonalo wafanyakazi ni unafiki.maana yangu kuwa wao ndo wanaoongoza kwa kulalamika Ila hawapazi sauti zao zaidi ya kuwa ndo vinara wa kuipitisha na kuipigia kura serikali hii.her waache kulalamika lakini pia wasemaji wawafanyakazi nao wanaoongoza kwa kuwadidimiza wafanyakazi.
 
Sijaona popote tangu CCM wamezindua kampeni zao wakisema chochote kuhusu wafanyakazi wa umma.

Mishahara, madaraja, nyongeza n.k

Ni kama hakuna kitu kama hicho kwenye ilani yao.

Sawa.
watamkumbuka JK, kila mwaka wa bajeti aliwaongeza mshahara, but now kimya
 
Tatizo kubwa walilonalo wafanyakazi ni unafiki.maana yangu kuwa wao ndo wanaoongoza kwa kulalamika Ila hawapazi sauti zao zaidi ya kuwa ndo vinara wa kuipitisha na kuipigia kura serikali hii.her waache kulalamika lakini pia wasemaji wawafanyakazi nao wanaoongoza kwa kuwadidimiza wafanyakazi.
Unataka wapaze sauti ili yawakute ya kuwakuta
 
Hivi hapo kila msanii atakuwa analipwa shilingi ngapi kwa shoo moja?
 
Ni kiburi cha kuamini watabebwa na Tume, we subiri hawataamini kitakachotokea! Watumishi wazidishe sala na wahamasishe ndugu na jamaa wote kuhakikisha wanamchagua Lissu tu ndio tumaini jipya la wafanyakazi waliofanywa wanyonge kuliko makundi yote!
 
Majamaa yanaleta FIESTA mpaka kijijini sijui Clouds walifeli wapi
 
Mkuuu si hayo tu.

1.Dodoma aliahidi kutujengea uwanja mkubwa wakisasa kwa kushirikiana na mfalme wa Moroco hadi leo hamna kitu

2. 2017.Aliahidi ujenzi wa hospitali ya uhuru hadi leo hamna kitu.

3.Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko Ring road hadi leo hamna kitu.

4. Ujenzi wa uwanja wa Msalato hadi leo hamna kitu.

2020 Watanzania tuamke
 
Singida Magufuli amesema mkiwachagua wale wanaotukana watakata kata ndege na kufanya mascrepa. Magufuli unamuona Lissu ni mtu wa kukata kata ndege au una Lissu phobia?
Hayo mambo anawaambia watu wazima wenye akili timamu au watoto?
 
Hivi hakuna walioongezewa kimya kimya kweli?
Mkuu mpuretamu hasa jena maghobe: Labda TRA NDO HUENDA WALIONGEZWA. Wengine wote kilio tu. Kuna mbunge mmoja huko kwetu alikuwa anasema, hata msiponichagua ninyi, wake zenu watanichagua. Magufuli hajali. Hata wafanyakazi wakimsusa, atatumia hata goli la mkono kupata ushindi. Si ile tume aliyoteua yeye ndiyo itakayotangaza??? Shida iko wapi hapa!!!
 
Unataka wapaze sauti ili yawakute ya kuwakuta
Wanyamaze kimya Kama manyumbu ipo siku wataelewa t.Magu kaza uzi makarai yako yataandamana kukupongeza kwa kununua ndegu wakati walimu mnaenda kazini na gambuti kisa matope na shule haina nyumba za walimu,increment msubili tuimalishe mbuga ya wanyama Chato.hahahahahahahaha
 
Kwahiyo mabaunsa na mgampo ndo wanaopiga kampeni? Angalia msafara tu wa CCM kama utaona gari hata moja la Serikali. CCM kinatumia rasilimali zake, nyinyi za kwenu zinaishia kwenye matumbo ya wachache.
Hali ya ofisi zao ni zile zile tangu 95
 
Ccm msituone watz wapumbavu saiz fanyeni yote tudanganyeni muwezavyo ila tunakuja kuwa choma dawa za kijumbe 28/10/2020 tunawafanyia ambacho hamuto amini
 
Kweli Polepole na Bashiru ndiyo mwisho wenu wa kufikiria umeishia hapo. Yani karne hii ya technologia na utandawazi na mwenyekiti wenu mkamshauri ivyo na bila kusita akakubali...
Kabla hujamwomba Mola wako, kwanza umsifie ndio baadae ueleze shida yako. Watu wale burudani ya wasanii alafu kuomba kura kufuatie!
 
Ccm msituone watz wapumbavu saiz fanyeni yote tudanganyeni muwezavyo ila tunakuja kuwa choma dawa za kijumbe 28/10/2020 tunawafanyia ambacho hamuto amini
Ungekuwa umejiandikisha inge-sound!
 
Back
Top Bottom