Atakuwa na kesi nyingi kama Jacob Zuma wa Afrika kusini.Akitoka madarakani kama tunavyotarajia atatakiwa kujibu mambo haya , hakutakuwa na mswalie mtume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa na kesi nyingi kama Jacob Zuma wa Afrika kusini.Akitoka madarakani kama tunavyotarajia atatakiwa kujibu mambo haya , hakutakuwa na mswalie mtume
TBA ?La Wakandarasi.
Hupenda kuzuia maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani mpaka siku akipita anaitisha mkutano anaomba wananchi waulize maswali baada ya maswali humdhalilisha mbunge wa upinzani na kisha kutoa Amri maendeleo yafanyike haraka na ndipo wananchi huona kuwa bila yeye mbunge angefeli kuleta maendeleo ni mbinu zake za kujionyesha kuwa bila yeye hakuna maendeleo popote Nchini.
Tusiambiwe kila mtu ataamua mwenyewe.Nanyie wabongo acheni kulalamika mkiambiwa uzazi wa mpango mnasema Mara Freemason hao mara new world order! Mkiambiwa mzae napo mnalalamika sasa mnataka nini?
Tumhurumie tu. Amejisahau. Anafikiri yeye ndiye kila kitu, na anaweza kufanya chochote. Bunge na mahakama vyote viko chini yake...huu ndio mtizamo ambao Magufuli ameujenga kwa muda mrefu, na amekuwa akipita kila mahali kusisitiza hilo.
..kwamba eneo husika kupata maendeleo raisi/magufuli ndiye muamuzi. Na asipojisikia, au asipokuwa na mahusiano mazuri na mbunge wa eneo hilo, basi hakuna maendeleo.
..kama anakusanya kodi kila mahali ktk nchi hii, basi miradi ya maendeleo igawanywe kulingana na mahitaji, na siyo raisi anajisikia vipi, au mbunge ana mahusiano gani na watawala.
..huu ndio mtizamo ambao Magufuli ameujenga kwa muda mrefu, na amekuwa akipita kila mahali kusisitiza hilo.
..kwamba eneo husika kupata maendeleo raisi/magufuli ndiye muamuzi. Na asipojisikia, au asipokuwa na mahusiano mazuri na mbunge wa eneo hilo, basi hakuna maendeleo.
..kama anakusanya kodi kila mahali ktk nchi hii, basi miradi ya maendeleo igawanywe kulingana na mahitaji, na siyo raisi anajisikia vipi, au mbunge ana mahusiano gani na watawala.
Magufuli amekuwa mbunge kwa miaka mingi sana lakini ana uelewa mfupi kuhusu majukumu ya mbunge, sijui kama hata huo urais alionao aliupata kihalali...huu ndio mtizamo ambao Magufuli ameujenga kwa muda mrefu, na amekuwa akipita kila mahali kusisitiza hilo.
..kwamba eneo husika kupata maendeleo raisi/magufuli ndiye muamuzi. Na asipojisikia, au asipokuwa na mahusiano mazuri na mbunge wa eneo hilo, basi hakuna maendeleo.
..kama anakusanya kodi kila mahali ktk nchi hii, basi miradi ya maendeleo igawanywe kulingana na mahitaji, na siyo raisi anajisikia vipi, au mbunge ana mahusiano gani na watawala.
Ndio na Nyanza costruction+Mayanga construction etcTBA ?
Halafu kwa leo nadhani anasema uongo au amepewa takwimu ambazo si sahihi au ameamua kuupotosha umma kwa makusudi
amesema "alipoingia madarakani kulikua na vijiji 2,018 tu vyenye umeme, katika kipindi chake ameweka umeme vijiji 9,570
na Tanzania ina vijiji 12,284. Pia amesema ukijumlisha vijiji 9570 na vile vwa awali 2018, vijiji ambacvyo havina umeme ni 2000 na ushee"
hizi takwimu kazisema mara mbili leo Ikungi na Singida Mjini.
sasa hesabu zinakataa 9,570+2018 =11,588 Maana yake vijiji ambavyo havina umeme ni 696 tu (12284 - 11588). Hivyo tunaomba aseme takwimu sahihi au watu wake waje kurekebisha hizi number au mwenyewe arekebishe. Akiendelea kutosema takwimu sahihi hii itamuondolea credibility kwamba aidha yote semayo sio sahihi na kupoteza imani nae
Hahaha hapo sawaNdio na Nyanza costruction+Mayanga construction etc
Huyu jamaa kwa kifupi hajielewi na viatu vya uongozi vinampwaya.Magufuli anaamini fedha zote za serikali ni mali yake na ana uwezo wa kuzitumia bila kupitia bungeni, ndiyo sababu amekuwa akichota fedha hazina na kuzitumia bila idhini ya Bunge. Full kuvunja sheria!
Noma ... Hatari tupu.Sijaona popote tangu CCM wamezindua kampeni zao wakisema chochote kuhusu wafanyakazi wa umma.
Mishahara, madaraja, nyongeza n.k
Ni kama hakuna kitu kama hicho kwenye ilani yao.
Sawa.
Ndiyo maana inahitajika katiba mpya inayompa Meya wajibu wa maendeleo kwa ngazi zote za chini huku mbunge akiwa na wajibu wa kuyatolea taarifa Bungeni, na pia kila wilaya itumie pesa zake inazokusanya kuleta maendeleo eneo husika huku wakipeleka kiwango fulani Serikali kuu, siyo kuchukua pesa za makusanyo ya Songea kwenda kujenga chato, katiba mpya ije na mfumo wa Tawala za majimbo zenye magavana kama kenya, America, South Africa na sehemu zingine Duniani itazuia hii mbinu ya Rais kuonekana ndiye hutoa pesa za maendeleo pekee...Mfumo wetu wa uendeshaji serikali lazima ubadilike.
..Wabunge [ Halmashauri ] wawe na sehemu yao ya kuleta maendeleo.
..Na Raisi [ serikali kuu] naye awe na sehemu yake ya kuleta maendeleo.
..Kwa hali ilivyo sasa hivi wananchi na wabunge wamekuwa OMBAOMBA mbele ya Raisi Magufuli.
..Hali imekuwa mbaya mpaka wakati wa mafuriko kuna mwananchi wamDsalaam aliamua kumlilia shida Raisi Magufuli kwa Kisukuma!!