Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wacha kulewa umeme gani? mpaka leo miaka 60 ya utawala wa CCM kwenye bunge wanazungumzia matundu ya choo.CCM kumekucha kampeni za nguvu zenye hoja za nguvu zenye ushahidi verifiable tukisema tumefanya hiki mwenye macho haambiwi tazama Kama ndege anaziona live,Kama hospital anaziona live ,Kama barabara anaziona live Kama elimu bure anaona live.kama Umeme Hadi vijijini anaona live...
mkuu ilo soko la uhakika si ndio serikali inayanunua wanayaweka humo then sudan wakikumbwa na njaa tunawauzia pamoja na kenya au iyo idea hujaipendaHarufu ya upigaji tu, chama chakavu ndio kawaida kwao. Wakulima wanataka soko la uhakika wapate pesa sio silos za kuhifadhi mazao yao.
Ushauri wangu kwako ni kuwa: Anza Kwanza kumtamkia hivyo baba yako mzazi aliyekuzaa. Mwambie hivi: baba wewe ni mpenda ngono...jibu utakalopata kwa baba yako mzazi uje utueleze humu jf..Naona unamtetea mpenda ngono mwenzio kwa nguvu kubwa sana
Comment yako nimeipenda kwani imenionesha wewe ni mtu wa aina gani...awali ya yote jina lake la mwisho rais wetu ni Magufuli na siyo Magufuri...ni ajabu kwamba unashindwa hata kuandika kwa usahihi jina la kiongozi wetu mkuu wa nchi...halafu wakati unalalamika kuwa baadhi tuna obsession na JPM ni wazi wewe na wengine wachache mna 'negative obsession' na JPM...coming to the point...kufikiri kibeberu ni kuwaona viongozi wa Afrika kwamba ni wa hovyo, na kumuona mtu mweusi kuwa ni nothing..halafu pia kuwa na mawazo ya kibabe na arrogance kwa kujiona kuwa unajua Kila kitu na mwingine hajui na hasa ukiwa na chuki naye.. fikra za kibeberu ni fikra za supremacy na dharau...Kufikiri kibebeeu ndio kufikiri kwa namna gani hebu niambie nijue?
Je kusema maneno yana ukakasi ndio ubeberu!
Or kumkosoa Magufuri ndio ubeberu!
Point ni kuwa maneno yana ukakasi (hasa kwa jamii iliyostaarabika)..sasa haijalishi kasema nani. Hata kama asingesema yeye Magufuri bado yangebaki kuwa na ukakasi. nyie watu muna obsession na watu wanaomkosoa Rais ingawa siyo wote wanaomkosoa wanamchukia..kukosolewa ni kumfanya mkosolewaji ajirekebishe na si vinginevyo (kwa mtazamo wangu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampeni lazima afanye hasa ukitilia maani kuwa kuna watu kama wewe na akina Lissu ambao hamkubali kuwa wanayosema CCM wameyafanya. The strategy here ni kuyasema as many times as possible ili yawaingie na muamini kuwa waliyafanya kwani kwa macho hamtaki kuyaona, labda kwa masikio MTASIKIA. Pia ni kwa nia na lengo la kuwaeleza hawa DIASPORA NA WAKIMBIZI WA KISIASA kuwa kuna mambo yamefanyika na mengine mapya yanawekewa mikakati ya utekelezaji kama ilivyo kwenye CCM MANIFESTO or ILANI ambayo in your liking that is the Strategic Document from CCM Party Strategists.Kwa maelezo hayo, Magufuli hahitaji kufanya kampeni. Lakini kwa taarifa, anahitaji kuleta mapya ambayo yatajibu mapungufu yaliyojitokeza miaka hii 5, na pia mapya yatakayotoa mwelekeo wa miaka 5 ijayo. Majibu yako yanaonesha upungufu mkubwa katika strateji. Kama mastratejisti wa Magufuli ndio wanawaza hayo pia, basi kazi ipo
Sasa msiseme ni ki science wakati si kweliUlitaka watumie rasilimali za ufipa au?
mimi sio mshabiki wa chama chochote ila nafuatilia tu kampeni za vyama vyote jinsi wanavyo pambana kutafuta kura....Hahaha ukiangalia kampeni za ccm kutwa wanaimba, kuna clip iko kwenye main page ya JF kuna picha ya Magufuli, ukiifungua ni waimbaji mwanzo mwisho.
BASATA ikifanya kama TCRA iwazuie wasanii kushiriki siasa badala yake tuwasikie wagombea, ccm watatuambia hadi tausi wanavyotaga ikulu.