Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Yaaani mtu hana ajira toka mwaka 2015 Ali Yona Liz’s chuo alafu awapigie kura Ccm kwa sababu ya Zuchu au Sholo mwamba??? Kajipange upya ewe mataga
 
Tukiangazia mvuto wa CCM kupitia wasanii vijana tunaona ni namna gani imeweza kuwateka vijana kupitia vijana wenzao waliojiajiri kupitia sanaa.
Ukiangalia idadi ya wasanii walioiunga mkono CCM unapata picha ya mashabiki wa CCM vijana wataokaompigia kura JPM.
Vijana gani hao jingalao!!??
 
Tukiangazia mvuto wa CCM kupitia wasanii vijana tunaona ni namna gani imeweza kuwateka vijana kupitia vijana wenzao waliojiajiri kupitia sanaa.
Ukiangalia idadi ya wasanii walioiunga mkono CCM unapata picha ya mashabiki wa CCM vijana wataokaompigia kura JPM.
Unaumwa mavi wewe, yaani nikachague usenge sababu ya fara wa bongo muvi au bongo fleva. Kachambe ulale..
 
Kila nikijaribu kufuatilia kampeni za mgombea wa CCM huko kanda ya ziwa nashindwa kuelewa kutokana na kilugha kinachoongelewa huko TBC.

Kwa maoni yangu tumerudi nyuma miaka 80 wakati kila kabila likiongea lugha yake Tanzania.

Tufanye nini tuondokane na hali hii? Jambo hili ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu.

2510026_390CF405-EE48-4644-B3CA-C8EB0F0844AE.jpeg
2510025_C337E4F7-7CEA-4948-BCAC-17C813CA15C9.jpeg
IMG-20200906-WA0040.jpg
IMG-20200906-WA0042.jpg
 
Back
Top Bottom