Lowasa alitukanwa sana na green guard na Kinana alidukuliwa.Wakuu Salaam;
Mzee Lowasa na mwenzake Sumaye wamesharudi nyumbani tangu mda tu na Kinana tunajua ana cell za CCM, hawa Wazee wamenyamaza sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowasa alitukanwa sana na green guard na Kinana alidukuliwa.Wakuu Salaam;
Mzee Lowasa na mwenzake Sumaye wamesharudi nyumbani tangu mda tu na Kinana tunajua ana cell za CCM, hawa Wazee wamenyamaza sana...
Wanaweza hasa ukiangalia influence walionayo kweny jamii na utashi wao kisiasa na uzoefu wa kutosha.Wamekusikia, swali fikirishi je wanaweza? maana kampeni za mwaka huu nizakupinga kwa hoja na sio kwa vioja
expand...Kuna tofauti kati ya fasihi Andishi na Simulizi. Sera za vyama zimeandikwa na kuchambuliwa kwenye vitabu. Ukiachilia mbali kwamba sio wote wanaweza kupata vitabu hivyo lakini pia sio wote wanaoweza kusoma wakaelewa.Yuko vizuri, Sera zake zinaeleweka kamanda, sio lazima kila mgombea aongee kama Lissu. CCM mbele kwa mbele, CCM tano tena.
expand...Kuna tofauti kati ya fasihi Andishi na Simulizi. Sera za vyama zimeandikwa na kuchambuliwa kwenye vitabu. Ukiachilia mbali kwamba sio wote wanaweza kupata vitabu hivyo lakini pia sio wote wanaoweza kusoma wakaelewa..
Wao wanatasisi kubwa za kiserikali nyuma yao analijua hili nasikia wanajadili kufanya uchaguzi kwa portion portion wanatuogopa kujitumbukiza wazimawazima jumlaNimepita sehemu kadhaa ambapo kuna TV na mikutano ya Magufuli ikirushwa Live.
Kitu nilichonotice ni kwamba wananchi wameshakuwa saturated na kumuona Magufuli, yaani wamemuona sana yeye peke yake mpaka sasa hawana shauku ya kumuona wala kumsikiiza sana...
wao wanatasisi kubwa za kiserikali nyuma yao analijua hili nasikia wanajadili kufanya uchaguzi kwa portion portion wanatuogopa kujitumbukiza wazimawazima jumla
Huwa kila siku nasema chadema sio wananchi/watanzania mnalalamika. Sasa wewe unayefatilia sio mwananchi uliyehamasika?Nimepita sehemu kadhaa ambapo kuna TV na mikutano ya Magufuli ikirushwa Live.
Kitu nilichonotice ni kwamba wananchi wameshakuwa saturated na kumuona Magufuli, yaani wamemuona sana yeye peke yake mpaka sasa hawana shauku ya kumuona wala kumsikiiza sana....
kunamajimbo wata rudia kwa visingizio mbalimbali ikiwamo Fujo,ilishawahi fanyika zanzibar hiiportion kivipi, sijakuelewa!
Huwa kila siku nasema chadema sio wananchi/watanzania mnalalamika. Sasa wewe unayefatilia sio mwananchi uliyehamasika?
kunamajimbo wata rudia kwa visingizio mbalimbali ikiwamo Fujo,ilishawahi fanyika zanzibar hii