The suspender
Senior Member
- Sep 1, 2020
- 128
- 138
Anaelekea hukoooUvinza ipo Tabora, au ndiyo anaelekea huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaelekea hukoooUvinza ipo Tabora, au ndiyo anaelekea huko?
Katika hali isiyo ya kawaida mhombea wa CCM John Magufuli akiwa njiani Nguruka kuelekea Urambo Tabora amampa nafasi Husna Mwilima aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini kumwombea kura mgombea wa CCM bwana Nashon, wakati Mwilima akiomba kura akamkumbisha Magufuli changamoto ambazo mgombea Nashoni amesahau kumweleza Magufuli, ndipo Magufuli bila ajizi akamwambia umekuwa mbunge hapa kwa miaka mitano ulishindwa nini kutatua shida hii ndogo ya shule.
Hapa ndipo huwa namwelewa sana Magufuli huwa hamezi maneno sehemu ambayo hajaridhika.
Maendeleo hayana chama
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!Katika hali isiyo ya kawaida mhombea wa CCM John Magufuli akiwa njiani Nguruka kuelekea Urambo Tabora amampa nafasi Husna Mwilima aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini kumwombea kura mgombea wa CCM bwana Nashon, wakati Mwilima akiomba kura akamkumbisha Magufuli changamoto ambazo mgombea Nashoni amesahau kumweleza Magufuli, ndipo Magufuli bila ajizi akamwambia umekuwa mbunge hapa kwa miaka mitano ulishindwa nini kutatua shida hii ndogo ya shule.
Hapa ndipo huwa namwelewa sana Magufuli huwa hamezi maneno sehemu ambayo hajaridhika.
Maendeleo hayana chama
Mimi nina Hasira na huyo HusnaKatika hali isiyo ya kawaida mhombea wa CCM John Magufuli akiwa njiani Nguruka kuelekea Urambo Tabora amampa nafasi Husna Mwilima aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini kumwombea kura mgombea wa CCM bwana Nashon, wakati Mwilima akiomba kura akamkumbisha Magufuli changamoto ambazo mgombea Nashoni amesahau kumweleza Magufuli, ndipo Magufuli bila ajizi akamwambia umekuwa mbunge hapa kwa miaka mitano ulishindwa nini kutatua shida hii ndogo ya shule.
Hapa ndipo huwa namwelewa sana Magufuli huwa hamezi maneno sehemu ambayo hajaridhika.
Maendeleo hayana chama
Nashoni huyu hyu tuliekuwane pale sua? mke wake alikuwa mwalimu Lupanga sc?Katika hali isiyo ya kawaida mhombea wa CCM John Magufuli akiwa njiani Nguruka kuelekea Urambo Tabora amampa nafasi Husna Mwilima aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini kumwombea kura mgombea wa CCM bwana Nashon, wakati Mwilima akiomba kura akamkumbisha Magufuli changamoto ambazo mgombea Nashoni amesahau kumweleza Magufuli, ndipo Magufuli bila ajizi akamwambia umekuwa mbunge hapa kwa miaka mitano ulishindwa nini kutatua shida hii ndogo ya shule.
Hapa ndipo huwa namwelewa sana Magufuli huwa hamezi maneno sehemu ambayo hajaridhika.
Maendeleo hayana chama
Tabora wanajambo lao
A retarded economic growth due to selfishness of CCM.Hiyo kazi ya Serikali ndiyo wanakusanya kodi,tangu tupate uhuru bado tunawaza sijui Shule ,barabara nk alafu ndiyo zinakuwa agenda kwenye uchaguzi.
Kuna mahali ccm mshakwama , Mjitathimini kama bado mna uwezo wa kuongoza nchii hii.
Wewe akili yako yawaza cheo tuu,na si kutatua kero za wananchi!?kule uvinza alishaahidiwa cheo,angejikita tu katika kutafuta kura,kazi ya kusemea kero ni ya mgombea