Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kwa namna mambo yanavyokwenda hali si shwari ndani na nje ya chama chake.

Sasa, ikitokea amechaguliwa baadhi ya maeneo yanayoshabikia Sana upinzani, wanaCCM ambao mkubwa huyu anawaona kama wasaliti na wapinzani wanaomsumbua akili yake katika kampeni sipati picha itakuwaje.

Si mnamfahamu kwa kulipa visasi na visasili?

Kuliepuka balaa hili sote kwa pamoja tuseme NO kwa mkubwa huyu.
 
Kwa namna mambo yanavyokwenda hali si shwari ndani na nje ya chama chake.

Sasa. Sasa, ikitokea amechaguliwa baadhi ya maeneo yanayoshabikia Sana upinzqni, wanaCCM ambao mkubwa huyu anawaona kama wasaliti na wapinzani wanaomsumbua akili yake ktk kampeni sipati picha itakuwaje.

Uzuri hata Kanda ya ziwa upepo sio mzuri kwake.
 
Hahaaa yaani wao wameajiriwa then wanataka Graduate wapewe elimu ya ujasiriamali wajiajiri, hiki ni kituko
FB_IMG_1601217482352.jpeg
 
Kwa namna mambo yanavyokwenda hali si shwari ndani na nje ya chama chake.

Sasa. Sasa, ikitokea amechaguliwa baadhi ya maeneo yanayoshabikia Sana upinzqni, wanaCCM ambao mkubwa huyu anawaona kama wasaliti na wapinzani wanaomsumbua akili yake ktk kampeni sipati picha itakuwaje.

Si mnamfahamu kwa kulipa visasi na visasili?

Kuliepuka balaa hili sote kwa pamoja tuseme NO kwa mkubwa huyu.
Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yetu, tutaishi na kuyasimulia Matendo makubwa ya awamu ya tano. Kama ni kufa, jiongeze tu kamanda, maana Magufuli ni Tano tena.
 
Sasa kama watapewa elimu ya ujasirimali miaka yote waliyojifunza habari za kina kinjikitile ngwale itawasaidia nini?
Ccm wanapaswa kutambua kuwa elimu inayotolewa imeshindwa kujibu changamoto zinazowakabili wahitimu
 
Haina haja. Ya kusoma na kuhangaika na madegree wamalize form four wapewe elimu ya ujasiriamali
 
Back
Top Bottom