Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tu hawajamaliza [emoji848][emoji848]Mgombea wa Urais kupitia CCM anatarajiwa kuingia viunga vya jiji la Arusha kesho na kuanza kampeni ya kishindo.
Bado tu hawajamaliza [emoji848][emoji848]
Wataruhusiwa mapema wakavae nguo za kawaida wakajaze uwanjaSijui shule zitaendelea na ratiba zao za kila siku!
Kweli wewe ni jingalao. Nani alikwambia Arusha inahitaji kutikiswa?Mgombea wa Urais kupitia CCM anatarajiwa kuingia viunga vya jiji la Arusha kesho na kuanza kampeni ya kishindo.
Hizo ela a atoa kwenye mapato yake bonafsi?Waacheni wanafunzi waende kumsupport sponsor wao wa elimu bure kwani kuna ubaya?
Na hiki ndicho watakifanya.Wataruhusiwa mapema wakavae nguo za kawaida wakajaze uwanja