Nchiyangu_furahayangu
Member
- Aug 25, 2025
- 30
- 6
NDo maana walikusanya zile bilioniSA100 ataweka rekodi kwakuwa mgombea urais aliyetumia gharama kubwa zaidi ktk kampeni zake toka tupate uhuru, tafsiri yake ni kwamba anauzika kwa mbiiinde....propaganda lazima ziwe kiwango cha 5g!!.
๐จ๐๐๐๐ ๐ ๐จ๐ก๐๐๐๐ง๐๐๐ ๐ช๐๐ง๐จ ๐ช๐๐ก๐ฌ๐ ๐ก๐๐จ๐ฉ๐จ ๐ก๐ ๐๐๐ฃ๐ ๐ก๐๐จ๐ฉ๐จ ๐ฌ๐ ๐ฉ๐ช๐๐ช๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ฅ๐๐ฆ๐๐ ๐๐ช๐ ๐ฅ๐๐๐ฆ ๐๐๐ง. ๐ฆ๐๐ ๐๐
Ukirejea katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mathayo 11: mstari wa 12 umeleza kuwa "Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka"
Kwa maana hiyo , Wananchi wa Vwawa mkoani Songwe wamedhiirisha hilo kwa vitendo kwa kuonesha nguvu yao na wingi wao katika viwanja vya Takri kwa Mgombea wao Rais Dkt. Samia, hakika ukweli haujifichi na kizuri huwa kinajiuza chenyewe.
Vwawa wanasema Oktoba 29 ni mwendo wa kutiki wala hawatapepesa macho.
#SafariYaCCM
#SafariYaUshindi
#OktobaTunatikiโ
#KaziNaUtuTunasongaMbele
๐๐๐ง๐จ๐ ๐ญ๐ ๐ฆ๐๐ ๐๐ ๐ญ๐๐ ๐๐๐๐ฅ๐๐๐๐ช๐ ๐ก๐ ๐ช๐๐ก๐๐ก๐๐๐ ๐ช๐ ๐ฉ๐ช๐๐ช๐ - ๐ฆ๐ข๐ก๐๐ช๐
Umati huu wa maelfu ya Wananchi wa Vwawa katika kumsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป unatosha kabisa kuthibitisha ya kwamba wananchi hawa wapo tayari kuendelea kumpa kura za Ndio Dkt. Samia kwa kazi ya kuendelea kuijenga nchi yetu ya Tanzania.
Haya yote yanatokana na namna ambvyo Dkt. Samia amekuwa akiliongoza Taifa letu katika misingi ya falsafa yake ya 4R iliyoleta matokea chanya ya kukubalika na kuaminika kwa Watanzania.
Huu ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni ndani ya mkoa wa Songwe leo tarehe 3 Septemba 2025
#KaziNaUtu
#CHAGUASAMIA
#CHAGUACCM