๐๐๐ญ๐ ๐๐ ๐๐๐ก๐ญ๐, ๐๐๐ง. ๐ฆ๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐ก๐๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ ๐จ๐ฌ๐ข๐๐
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป akizungumza na wananchi wa Uyole wakati akielekea Rungwe katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 05 Septemba, 2025.
Pamoja na mengine, Rais Dkt. Samia ameeleza makubwa atakayoyafanya mara baada ya wananchi hao kumpa kura nyingi za ndio ifikapo Oktoba 29.
Aidha, wananchi wa Uyole wamempa pongezi zake kwa kazi kubwa aliyoifanya katika kipindi cha miaka 4 ya Uongozi wake tangu aliposhika kiti cha Urais na kumuahidi kuendelea kumuamini na kumpigia kura ili aongoze tena gurudumu la maendeleo.
#SafariYaCCM
#SafariYaUshindi
#OktobaTunatikiโ
#KaziNaUtuTunasongaMbele