Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
- Thread starter
-
- #61
Kaka asante sana umenikumbusha vizuli nadhani ndio kipindi hikoo walipataga na ajalii kabla ya kufika nadhani ntakuwa sahihiUmekosea kidogo wakikuwa wanatoka kwenye fiesta moro wakielekea kwenye kuadhinisha miaka 25 ya ndoa ya wazazi wake na vivian pia ili complex kutambulishwa
Sio father G Ni father Nell WA nguleloYeah aisee lile kundi lao alikuwepo Steve k alikuwepo john mjema na spider man ,
Lakini mwisho wa Sikh Steve 2k aliuwawa alichomwaga kisuu alikuwa ugomvi yeye na meneja wakee badae john mjema nae alijiuwaa kwa kujichoma kisu kichwanii hili lilikuwa tukio LA kusisimuaaa bila kusahahauu.
Father g yule wa arusha yeye pia alichomwaga kisu akafaa kama unamfahamu alitoaga wimbo hii ni dhambi kwa mwenyezii ukienda YouTube utaukutaa.
Halafu ivi wimbo wa Mimi sio mwizi wa alikuwepo john mjema ivi naweza kuupata wapi
Yeah, ni Marehemu Father Nelly "Omega Dalla" toka XPz ya Chuga.Ebana Mkuu sio father G , ALIKUWAGA X PLASTAZ WALE WA ARUSHA KUNA WIMBO YOTUBE NINI DHAMBI KWA MWENYEZI.
MSHIKAJI ALICHOMWAGA KISU KIFUANI
Mkuu asante sana NI FATHER NELLY AiseeeSio father G Ni father Nell WA ngulelo
D Rob Zomba (M.A.P)... KU-CREW wameachia wimbo mpya unaitwa REAL HIP HOP chini ya utunzi wa Brother Kibacha (KBC) na Brother Eazy B.. Anko Zavara Mponjika (Chief Rhymson) yupo Mbele.Hamna wa enzi za kina Rob One(R.I.P),beach party, ndege beach, Lang'ata(kipindi ukibaka sio kosa)? , Bon lov na studio zao msasani msikitini pale!?,mawingu studio,Kusaga akianza safari yake?, Gwm.... Mr 2 akishika pump ya mafuta pale maeneo, mmbunge wa mikumi akiwa tigo
GWM walikuwa na song lao flaani cheza mbali na kasheshe .Hamna wa enzi za kina Rob One(R.I.P),beach party, ndege beach, Lang'ata(kipindi ukibaka sio kosa)? , Bon lov na studio zao msasani msikitini pale!?,mawingu studio,Kusaga akianza safari yake?, Gwm.... Mr 2 akishika pump ya mafuta pale maeneo, mmbunge wa mikumi akiwa tigo
Mkuu umemsahau kichwa kimoja kilikuwa kinaitwa SOS B alisomaga azaa boy huyu mshikaji alikuwa kichwa Sana.D Rob Zomba (M.A.P)... KU-CREW wameachia wimbo mpya unaitwa REAL HIP HOP chini ya utunzi wa Brother Kibacha (KBC) na Brother Eazy B.. Anko Zavara Mponjika (Chief Rhymson) yupo Mbele.
Enzi hizo nakumbuka kulikuaga na ushindani kati ya KU-CREW na DIPLOMATZ ya kina SAIGON (OIIII OIIIII OIIIII)
HBC, kulikua na kichwa ki1 kinaitwa FANANI, Namkubali miaka mia hiki kichwa, mtu mmoja simple sana lakn UHAKIKA.
Sugu alipeperusha Bendera vema sana Marehemu Faza Nelly wa XPZ,
DJ BONNY LUV.. The best DJ, kautoa muziki mbali sana huyu brother, beach party 97/98 alikua anakiwasha kimeno meno.
Bring Back Our 90's
Kundi LA HBC Kulikuwa na kichwa kimoja wanakiita wilee saivi mwana nasikia yupo states kuna siku procesa j alikuwa anamuelezea.D Rob Zomba (M.A.P)... KU-CREW wameachia wimbo mpya unaitwa REAL HIP HOP chini ya utunzi wa Brother Kibacha (KBC) na Brother Eazy B.. Anko Zavara Mponjika (Chief Rhymson) yupo Mbele.
Enzi hizo nakumbuka kulikuaga na ushindani kati ya KU-CREW na DIPLOMATZ ya kina SAIGON (OIIII OIIIII OIIIII)
HBC, kulikua na kichwa ki1 kinaitwa FANANI, Namkubali miaka mia hiki kichwa, mtu mmoja simple sana lakn UHAKIKA.
Sugu alipeperusha Bendera vema sana Marehemu Faza Nelly wa XPZ,
DJ BONNY LUV.. The best DJ, kautoa muziki mbali sana huyu brother, beach party 97/98 alikua anakiwasha kimeno meno.
Bring Back Our 90's
HBC kulikua na wakali wengi, sema walipotezwa na Nigga J, japo kiukweli wana walimzidi uwezo.. Hii ni kama The Wailers ya kina Bob, Bunny na Tosh.. Bob alipoteza wengine japo kimziki hakuwai kumfikia Tosh.Kundi LA HBC Kulikuwa na kichwa kimoja wanakiita wilee saivi mwana nasikia yupo states kuna siku procesa j alikuwa anamuelezea.
Sos b yuko vizuli sana saivi nasikia branch manager wa benk ya akibaSoos b dah,ngwea jamani mmemsahau
Huyu jamaa alikuwa mkorofi sana na nashangaa sana jinsi alivyobadilika, si nasikia kipindi fulani waliwahi kumnyoa nywele kisa kawaponda kwenye video yao kipindi cha planet bongoKalapina kuwapiga bitt NAKO 2 NAKO Mpaka wakaikimbia DAR na kurudi ARUSHA
Maisha tu na umri ndo vinabadilisha watu, inafikia wakati mtu anaacha vita vya kupigana na watu anaanza kupigania maisha yake na uchumi wakeHuyu jamaa alikuwa mkorofi sana na nashangaa sana jinsi alivyobadilika, si nasikia kipindi fulani waliwahi kumnyoa nywele kisa kawaponda kwenye video yao kipindi cha planet bongo