Kimara mwisho njia ya kwenda bonyokwa.. km 2 kutoka kituo cha mwendo kasi kimara
 
Nyumba ina vyumba 11 vya kupangisha na fremu 3 za biashara

INAUZWA - Milioni 27 TU - IPO Kongowe ya Mbagala 0677 818283
Vyumba 11 vina wapangaji
Fremu 3 za biashara
Bei ni milioni 27 tu (27,000,000/=) - FIXED /BEI YA KUUZIA HAINA MAZUNGUMZO
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677 818283
WAHI SASA PAKIKUCHA TU HUIKUTI

 
Waelezee chumba kimoja kwa mwezi bei gani? Fremu moja kwa mwezi bei gani? Wakijumlisha mapato ya mwezi watapata moyo kuwekeza.
 
Mjengo upo Kinyerezi Kifuru (njia ya kutokea Kinyerezi kwenda Mbezi mwisho)
Barabara ni ya lami
Mjengo una vyumba 4 viwili ni master rooms
Eneo lake ni sqm 900
Garden yake ni nzuri sana
Bei ni milioni 170 tu (170,000,000)
NB: Eneo limeshapimwa tayari hati bado haijatoka tunaishughulikia
mawasiliano 0677 818283

secret file


Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Ebu funguka, kwanini unaiuza. Uondoe hii sintofahamu vichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna sintofaham yyte.. hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa.. kuna wakati naleta nyumba watu wanaishuku kwa bei kuwa ndogo.. siku nyingine naleta nyumba naambiwa mpigaji nimeweka bei juu..

Yaan sijawahi leta nyumba watu wakaridhika yaani ikawa bei standard
 
Ni mwendo wa cha juu tu hadi nyumba isiuzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…