Hahaa ngoja aje anijibu mkuu tuone bei yake.
Kwa mim mtaalam harakaharaka hapo sabab sion hata aluminium windows..paa la kawaida la bat zetu za rangi za elf22...kwa ujenz wa kibahili hapo nyumba pekee ukitoa kiwanja ni kama 40m hiv....kiwanja sasa huko pugu sjui ni sh ngap ila hakifik kwa 10m kwa sasa..yeye atakua alinunua bei chin sana enz hzo...so hapo kila kitu na kuvuta umeme etc..weka kama 53m....so jamaa hyo 72.4 atakua anatafta faida na dalal humohumo...angekua anajua kuuza nyumba huyu dalal angemshaur vzur huyo bwana kuwa kwa hal ya sasa nyumba kama hyo location pugu huko hawez uza bei hyo..angeuza kihasara tu labda 50m angepata mteja...asitake mjadala sana...nimempa experience tu..kipind hk cha magu
 

Umeongea kila kitu nyumbq haijaisha iko halffinishing eneo ilipo tayari inaishusha thamani bei kubwa sana
 
unaeza sema wewe mvivu ila hamna namna ngoja niendelee kutafuta πŸšΆβ€β™‚οΈ πŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Kweli kila mtu na bei yake ya kutupa. Napita tu.
 
Huyo aliyekuwa anaishi humo ndiyo mwenye nyumba au alihama akaacha mtu amlindie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…