RealEstate Agent
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 244
- 321
- Thread starter
- #281
SanaaNzuri sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaaNzuri sanaa
Nilikosea kwa kuandika 350,000 mwanzo ila ni 300,0001,400,000/=? Je, 300,000*4 =1,400,00/? Mbona zimebanana sana, boss? Ile 2m distancing itapatikana hapo kweli?
Ghorofa inawezekana ukajenga ,boss
SawaNyumba bado zipo
Kuna ac mkuuJoto lake sio la kitoto
shkraniUngefungua Uzi wako kulizungumzia hilo zama hizi tungeliita USTAARAB.
Lakini kupenyeza Hoja yako ndani ya Hoja ya mwenzako tena anaefanya Biashara hapa hakuna jina lingine ni UCHAWI tu.
kimyaaawill be back
Mkuu nyumba bado haijauzwa?shkrani
Ndio.. Nyumba ipoMkuu nyumba bado haijauzwa?
Karibu mkuu..Kulikoni uuze bata anayetaga mayai ya dhahabu kwa bei ya fimbo?
AlaahKaribu mkuu..