INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba
Nyumba (apartment) zipa nne ndani ya eneo moja
kila nyumba/apartment ina vyumba viwili,Dinning,seating,jiko,public toilet
Nyumba zinapangishwa kwa 300,000 kwa mwezi kwa kila moja
Unaingiza 1,440,000 kila mwezi.. ni uhakika kabisa hazikai bila wapangaji
Nyumba zipo tabata segerea
Eneo lake ni sqm 600 - HATI IPO
BEI NI MILIONI 150 TU (BEI YA KUUZA)
MAWASILIANO 0677 818283



WhatsApp Image 2021-04-18 at 21.03.27 (2).jpeg




WhatsApp Image 2021-04-18 at 21.03.27 (3).jpeg




WhatsApp Image 2021-04-18 at 21.03.27 (4).jpeg
WhatsApp Image 2021-04-18 at 21.03.27.jpeg




WhatsApp Image 2021-04-18 at 21.02.18.jpeg

WhatsApp Image 2021-04-18 at 21.03.27 (1).jpeg
 
1,400,000/=? Je, 300,000*4 =1,400,00/? Mbona zimebanana sana, boss? Ile 2m distancing itapatikana hapo kweli?
Nilikosea kwa kuandika 350,000 mwanzo ila ni 300,000
ambazo unapata 1,200,000 kwa mwezi
1,200,000 * 12 ndio unapata 14,400,000
 
Nyumba/apartment zipo 4 ndani ya eneo moja
kila apartment ina vyumba viwili dining sebule na jiko na choo
gharam aya kupangisha kila apartment ni 300,000/=
kwa apartment 4 kwa mwezi unaingiza milioni 1 na laki 2 (1,200,000/=)
Kwa mwak aunaingiza milioni 14 na laki 4 (14,400,000/=)
Bei ya apartment hizi zote ni milioni 150 tu (150,000,000/=)

Nyumba zipo tabata segerea karibu kabisa na stendi kuu ya daladala

Ndani ya miaka 10 unaweza kurudisha pesa yako yote na kuanza kula faida tu
Na hata ukiamua kuuza unaweza kuuza zaidi ya bei ya kununulia kwa muda wowote utakaotaka kuuza

MAWASILIANO 0677 818283


WhatsApp Image 2021-04-18 at 21.02.18.jpeg
WhatsApp Image 2021-04-18 at 21.03.27 (1).jpeg
WhatsApp Image 2021-04-18 at 21.03.27 (2).jpeg
WhatsApp Image 2021-04-18 at 21.03.27 (3).jpeg
WhatsApp Image 2021-04-18 at 21.03.27 (4).jpeg
WhatsApp Image 2021-04-18 at 21.03.27.jpeg
 
Back
Top Bottom