INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba
Nyumba ina tatizo gani? Sorry niljua gari nimeona bei ndogo
 
Plot ina ukubwa wa sqm 2007
ipo mbezi beach Africana - SEA BREEZE
Imepakana na barabara kabisa
Panafaa kwa kujenga mall,ukumbi ,maduka ,apartments na hata makazi ya kuishi
BEI NI MILIONI 400 TU
MAWASILIANO 0677 818283

2.png
3.png
4.jpeg
 
Wanafamilia wametuliza wenge sasa? Maana kuna madogo vichwa ngumu
 
Aisee ningekuwa na pesa hata milioni 500 nigetoa, hapo si kwenye zile apartments kama unaenda kwa Mwamunyange ?
 
kwanini unatukana, wewe una kitu unauza kweli hapo? prof J mbona anakaa mbezi beach hiyohiyo au wewe hata huyaelewi maeneo unayouza.
Prof J alikuwa anakaa Mbezi ya Kimara kabla hajabomolewa......alafu mm sio muuzaji wa eneo...
 
Back
Top Bottom