Ukiona hivyo ujue wameshajua udhaifu wao,aidha wameshaondoka,wamejificha au hawana silaha za kudungulia ndege.Helkopta za Ukraine aina ya Mi-8, zinapiga misele Donbas tena kwa kujiachia na mwendo wa kunyata? Wanajiamini nini? Kuna jambo, Urusi watakuwa wamefifishwa
View attachment 2227079
Unamuuliza nani sana wakati una internet? Fuatilia.Mariupol imekuwaje? au ugomvi umehama?
Kwenye hii vita tegemea blunders nyingi sana ambazo zitakuwa zinakiuka makubaliano ya "The Geneva conventions" yatakayofanywa na Mrusi na baada ya hapo ataburuzwa kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita.Warusi wameishiwa Pumzi. Mabomu ya kutegwa ardhini yalipigwa marufuku, sababu yanaua wasiohusika. Mfano huko Cambodia hadi leo mabomu ya Ardhini ya Vita ya pili ya Dunia yanaua watu. Ukitega umetega. Ndo yule panya wa Sua alipeleka kunusa.
Anti-personnel landmines are prohibited under the Convention on the Prohibition of the Use, Stockpiling, Production and Transfer of Anti-Personnel Mines and on Their Destruction (or Mine Ban Convention), adopted in 1997.
Mrusi anajiingiza kwenye umasikini. Mwenyewe sababu lazima aijenge Ukraine.Kwenye hii vita tegemea blunders nyingi sana ambazo zitakuwa zinakiuka makubaliano ya "The Geneva conventions" yatakayofanywa na Mrusi na baada ya hapo ataburuzwa kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita.
Hawa jamaa huwa vizuri sana kujitengenezea mazingira ya kujificha unaweza kumpita ukidhani ni mti. [emoji16][emoji16]Snipers wana mikwara balaa[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2227152
Nani unamwita dogo?Kweli hawapo Aisee. Nimeona "Dogo" Wanaruka na chopa zao kwa kujinafasi. 🤣 Maana yake Mrusi mbabe nyang'anyang'a - Kha! Amekimbia au amejificha msituni kama kawa au ndo basI tena RIP😭 ??
Hapa waende vizuri sana na kwa umakini wasijekuwa wametega mabomu yenye sumu ili waue askari wengi,tofauti na hapo wamejisepea tu mkuu cha kufia nini!Kweli hawapo Aisee. Nimeona "Dogo" Wanaruka na chopa zao kwa kujinafasi. [emoji1787] Maana yake Mrusi mbabe nyang'anyang'a - Kha! Amekimbia au amejificha msituni kama kawa au ndo basI tena RIP[emoji24] ??
Wapo Makini. Hizi chopa zinahamisha Askari kutoka point A to B na Siraha. Sehemu nyingine wanaenda pori kwa Pori. Pia zinasambaza vyakula na kubeba Majeruhi. Nakutafutia Video ya chopa za kushambuliaHapa waende vizuri sana na kwa umakini wasijekuwa wametega mabomu yenye sumu ili waue askari wengi,tofauti na hapo wamejisepea tu mkuu cha kufia nini!
Yaani hapo ndipo palipo na hasara kubwa kwasababu uchumi wake utateteleka asilimia kadhaa lazima iwe inaenda Ukraine kujenga uchumi wao,asipoangalia ule u super power wake unaweza kuporomoka zaidi, sasa hivi anataka kule tena majanga Finland.Mrusi anajiingiza kwenye umasikini. Mwenyewe sababu lazima aijenge Ukraine.
Hana Usuper power wowote. Hivi vikwazo vimeanza kuuma. Waziri wa Uchumi analalamikaYaani hapo ndipo palipo na hasara kubwa kwasababu uchumi wake utateteleka asilimia kadhaa lazima iwe inaenda Ukraine kujenga uchumi wao,asipoangalia ule u super power wake unaweza kuporomoka zaidi, sasa hivi anataka kule tena majanga Finland.
Hapo nimekusoma mkuu. Uwezekano mkubwa basi Warusi wametiwa adabu vizuri sana.Wapo Makini. Hizi chopa zinahamisha Askari kutoka point A to B na Siraha. Sehemu nyingine wanaenda pori kwa Pori. Pia zinasambaza vyakula na kubeba Majeruhi. Nakutafutia Video ya chopa za kushambulia
Atakuwa anamaanisha kuna askari ni mdogo kiumri wa Ukraine anafanya maajabu kwenye medani ya kivita mkuu.Nani unamwita dogo?
Hii inawashangaza sana Warusi wanasema pamoja na kupigwa kote kwa mabomu hapo kiwandani na jinsi mazingira yalivyo hawakutegemea kuwepo na mtu/watu wakiwa hai.Pamoja na Mazira yote Azov wanawasalimia kutoka Azovstal View attachment 2227279