7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,729
- 7,966
Ukiona hivyo ujue wameshajua udhaifu wao,aidha wameshaondoka,wamejificha au hawana silaha za kudungulia ndege.Helkopta za Ukraine aina ya Mi-8, zinapiga misele Donbas tena kwa kujiachia na mwendo wa kunyata? Wanajiamini nini? Kuna jambo, Urusi watakuwa wamefifishwa
View attachment 2227079
Je, kama ni mtego wanajifanya hawapo ili Waukraine waje bila kificho wafanyiwe ambush. Lakini kwa Intelijensia yao wameshamjua Mrusi jinsi alivyojipanga.
Kufikia mpaka Jumamosi tunaweza kupata matokea chanya halisi ya ushindi wa Ukraine Donbas. Kupigana na mtu kwenye nchi yake tena umemvamia ni kazi sana.