Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Helkopta za Ukraine aina ya Mi-8, zinapiga misele Donbas tena kwa kujiachia na mwendo wa kunyata? Wanajiamini nini? Kuna jambo, Urusi watakuwa wamefifishwa
View attachment 2227079
Ukiona hivyo ujue wameshajua udhaifu wao,aidha wameshaondoka,wamejificha au hawana silaha za kudungulia ndege.

Je, kama ni mtego wanajifanya hawapo ili Waukraine waje bila kificho wafanyiwe ambush. Lakini kwa Intelijensia yao wameshamjua Mrusi jinsi alivyojipanga.

Kufikia mpaka Jumamosi tunaweza kupata matokea chanya halisi ya ushindi wa Ukraine Donbas. Kupigana na mtu kwenye nchi yake tena umemvamia ni kazi sana.
 
Warusi wameishiwa Pumzi. Mabomu ya kutegwa ardhini yalipigwa marufuku, sababu yanaua wasiohusika. Mfano huko Cambodia hadi leo mabomu ya Ardhini ya Vita ya pili ya Dunia yanaua watu. Ukitega umetega. Ndo yule panya wa Sua alipeleka kunusa.

Anti-personnel landmines are prohibited under the Convention on the Prohibition of the Use, Stockpiling, Production and Transfer of Anti-Personnel Mines and on Their Destruction (or Mine Ban Convention), adopted in 1997.
Kwenye hii vita tegemea blunders nyingi sana ambazo zitakuwa zinakiuka makubaliano ya "The Geneva conventions" yatakayofanywa na Mrusi na baada ya hapo ataburuzwa kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita.
 
Ila Warusi wanapata tabu sana. Ona hii, amejaribu kukimbia lakini wapi
 
Kwenye hii vita tegemea blunders nyingi sana ambazo zitakuwa zinakiuka makubaliano ya "The Geneva conventions" yatakayofanywa na Mrusi na baada ya hapo ataburuzwa kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita.
Mrusi anajiingiza kwenye umasikini. Mwenyewe sababu lazima aijenge Ukraine.
 
Kweli hawapo Aisee. Nimeona "Dogo" Wanaruka na chopa zao kwa kujinafasi. [emoji1787] Maana yake Mrusi mbabe nyang'anyang'a - Kha! Amekimbia au amejificha msituni kama kawa au ndo basI tena RIP[emoji24] ??
Hapa waende vizuri sana na kwa umakini wasijekuwa wametega mabomu yenye sumu ili waue askari wengi,tofauti na hapo wamejisepea tu mkuu cha kufia nini!
 
Hapa waende vizuri sana na kwa umakini wasijekuwa wametega mabomu yenye sumu ili waue askari wengi,tofauti na hapo wamejisepea tu mkuu cha kufia nini!
Wapo Makini. Hizi chopa zinahamisha Askari kutoka point A to B na Siraha. Sehemu nyingine wanaenda pori kwa Pori. Pia zinasambaza vyakula na kubeba Majeruhi. Nakutafutia Video ya chopa za kushambulia
 
Mrusi anajiingiza kwenye umasikini. Mwenyewe sababu lazima aijenge Ukraine.
Yaani hapo ndipo palipo na hasara kubwa kwasababu uchumi wake utateteleka asilimia kadhaa lazima iwe inaenda Ukraine kujenga uchumi wao,asipoangalia ule u super power wake unaweza kuporomoka zaidi, sasa hivi anataka kule tena majanga Finland.
 
Hana Usuper power wowote. Hivi vikwazo vimeanza kuuma. Waziri wa Uchumi analalamika
 
Wapo Makini. Hizi chopa zinahamisha Askari kutoka point A to B na Siraha. Sehemu nyingine wanaenda pori kwa Pori. Pia zinasambaza vyakula na kubeba Majeruhi. Nakutafutia Video ya chopa za kushambulia
Hapo nimekusoma mkuu. Uwezekano mkubwa basi Warusi wametiwa adabu vizuri sana.
 
Pamoja na Mazira yote Azov wanawasalimia kutoka Azovstal
Screenshot_20220516-221712.png
 
Pamoja na Mazira yote Azov wanawasalimia kutoka Azovstal View attachment 2227279
Hii inawashangaza sana Warusi wanasema pamoja na kupigwa kote kwa mabomu hapo kiwandani na jinsi mazingira yalivyo hawakutegemea kuwepo na mtu/watu wakiwa hai.

Hawa AZOV kweli ni askari haswaa wameiva kwa mafunzo, Warusi hawajui wanajifichaje hadi mabomu yanawakosa. Hawaamini wanachokiona.
 
Wanajeshi 50 wa Azov wamepelekwa Hospitali ya Novoazovsk Ukraine. Na Wanajeshi wengine 380 wa Azov pia Wameondolewa bado sijajua wamepelekwa wapi ila pale Viwandani hadi lao saa nane Usiku baada ya kubadilishana prisoners of War(PoW) 50, bado haijajulikana wengine zaidi ya ya 380 wameenda wapi. Nadhani hadi kukuche tutajua kama wapo Ukraine au wamepekekwa Uturuki. Ila inadaiwa hamna mtu pale Viwandani.
M3SSCPWATZOURFXEDPV54OVDU4.jpg
HHQPTZTB7VKURFOML6HXBR5D7E.jpg
 
Hii Hospital ipo Km 32 kutoka Azov. Na ipo chini ya Jeshi la Ukraine. Inadaiwa Wanajeshi wengine wakipumzika watapelekwa Frontline sehemu nyingine kuongeza Nguvu na Utaalam.
51786_full.jpeg
 
Back
Top Bottom