Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa Ujerumani hawapo serious. Sisi tunataka huu msaada leo, wao wanadai watatupa msaada katika ya July. Wanadai ndo Ukraine tutakuwa fiti kuzitumia baada ya Mafunzo. Sisi tunataka tuwafurumushe warusi tuanze kulima. Hii silaha ya kudungua ndege inaitwa Gepard anti-aircraft self-propelled guns from Germany in mid-July. Watatupa 15.
 
Kuna Silaha za China zinatumiwa na Wanajeshi wa Ukraine, watu wanahisi China inaisaidia Ukraine ila si kweli. Silaha zinazotumiwa za China, zimetoka Marekani. Marekani wameleta Silaha aina ya 56 rifles na Nyingine za Iran aina ga HM-19 mortars. Kipindi cha nyuma kuna meli ilikamatwa na Marekani ikiwa imebeba Silaha ikielekea Yemen. Baada ya kila mtu kuukana mzigo, Marekani ikautaifisha. Ndo umeletwa Ukraine
 
Mwandishi wa habari Maarufu wa Ukraine Yuriy Butusov wakati wanafanya Upelelezi, wamefanikiwa kuiba kifaru cha Urusi aina ya BMP-1 kutoka kikosi cha Urusi cha 35th Separate Guards Motor Rifle Brigade kinachoongozwa na Captain Dmitry Furdui. Kifaru kimeibiwa wakiwa umbali wa 100m kutoka kwa Adui
 
Wajerumani huwa ni wazito kwenye kufanya maamuzi na hiki kitu huwa kinawacost sana kwenye mambo mengi.

Hapa inatakiwa watie pressure sana kwamba wanazihitaji kabla ya July zinaweza kutoka lakini tofauti na hapo watachelewa kuzitoa.
 
Salute
 
URUSI, Moscow: Kituo kikubwa cha Utafiti wa Anga cha TsAGI, kinawaka moto. Asante LEGION
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Hii Vita:

Urusi wana Vifaru vingi lakini Ukraine ina Silaha nyingi za kuteketeza Vifaru.

Urusi ina ndege nyingi lakini Ukraine ina Silaha nyingi za kudungua ndege. Hapo kwanza nicheke🤣🤣
 
Wakuu, kuna mtu kajua ule msafara wa jana ya Urusi umeishia wapi? Urusi walikuja na Convoy ya Km zaidi ya 15 wakijaribu tena kukatiza mto Popasna, Azovstal. Wamekwama wapi?[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2233374
Yaani Hii vita inaivua nguo saana Russia na kila mtu anajua wazi kwa Sasa Russia hawana chochote zaidi ya mikwara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…