Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa Ujerumani hawapo serious. Sisi tunataka huu msaada leo, wao wanadai watatupa msaada katika ya July. Wanadai ndo Ukraine tutakuwa fiti kuzitumia baada ya Mafunzo. Sisi tunataka tuwafurumushe warusi tuanze kulima. Hii silaha ya kudungua ndege inaitwa Gepard anti-aircraft self-propelled guns from Germany in mid-July. Watatupa 15.
20220521_053620.png
 
Kuna Silaha za China zinatumiwa na Wanajeshi wa Ukraine, watu wanahisi China inaisaidia Ukraine ila si kweli. Silaha zinazotumiwa za China, zimetoka Marekani. Marekani wameleta Silaha aina ya 56 rifles na Nyingine za Iran aina ga HM-19 mortars. Kipindi cha nyuma kuna meli ilikamatwa na Marekani ikiwa imebeba Silaha ikielekea Yemen. Baada ya kila mtu kuukana mzigo, Marekani ikautaifisha. Ndo umeletwa Ukraine
20220521_062950.jpg
20220521_062954.jpg
 
Mwandishi wa habari Maarufu wa Ukraine Yuriy Butusov wakati wanafanya Upelelezi, wamefanikiwa kuiba kifaru cha Urusi aina ya BMP-1 kutoka kikosi cha Urusi cha 35th Separate Guards Motor Rifle Brigade kinachoongozwa na Captain Dmitry Furdui. Kifaru kimeibiwa wakiwa umbali wa 100m kutoka kwa Adui
20220521_064541.jpg
 
Hawa Ujerumani hawapo serious. Sisi tunataka huu msaada leo, wao wanadai watatupa msaada katika ya July. Wanadai ndo Ukraine tutakuwa fiti kuzitumia baada ya Mafunzo. Sisi tunataka tuwafurumushe warusi tuanze kulima. Hii silaha ya kudungua ndege inaitwa Gepard anti-aircraft self-propelled guns from Germany in mid-July. Watatupa 15.
View attachment 2232526
Wajerumani huwa ni wazito kwenye kufanya maamuzi na hiki kitu huwa kinawacost sana kwenye mambo mengi.

Hapa inatakiwa watie pressure sana kwamba wanazihitaji kabla ya July zinaweza kutoka lakini tofauti na hapo watachelewa kuzitoa.
 
Sasa kwasababu kama hii ya msingi, iweje Russia aonekane ni mzuri, ameifanya dunia iwe na mfumuko mkubwa wa bidhaa kwa vita aliyoianzisha na bado akafunga bandari, kama adui yake ni Ukraine kwanini ataabishe wengine? Bado hapo hapo anaombwa kuungwa mkono, mhhh!

Russia hana huruma na watu wake, Waukraine wala wanadamu wa mataifa mengine.

Kwasababu hii namuona US ana haki ya kuikomboa dunia kama alivyowahi kufanya huko nyuma japo kuna haters wake hawataki kuukubali huu ukweli.

Siku anayesimamia haki ndiye hushinda.
Salute
 
URUSI, Moscow: Kituo kikubwa cha Utafiti wa Anga cha TsAGI, kinawaka moto. Asante LEGION
 
Wakuu, kuna mtu kajua ule msafara wa jana ya Urusi umeishia wapi? Urusi walikuja na Convoy ya Km zaidi ya 15 wakijaribu tena kukatiza mto Popasna, Azovstal. Wamekwama wapi?[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2233374
Yaani Hii vita inaivua nguo saana Russia na kila mtu anajua wazi kwa Sasa Russia hawana chochote zaidi ya mikwara tu.
 
Back
Top Bottom