figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #2,221
Hawa Ujerumani hawapo serious. Sisi tunataka huu msaada leo, wao wanadai watatupa msaada katika ya July. Wanadai ndo Ukraine tutakuwa fiti kuzitumia baada ya Mafunzo. Sisi tunataka tuwafurumushe warusi tuanze kulima. Hii silaha ya kudungua ndege inaitwa Gepard anti-aircraft self-propelled guns from Germany in mid-July. Watatupa 15.