Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Yaani nimecheka sana. Drone ilishambulia kifaru cha Urusi, eti huyu askari akajifanya amekufa then akakimbia. Drone ikamfuata huko huko alikoenda🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu hivi hii haiwezi kuwa changamoto kwa askari wa ukraine vifaa vinatoka kwa watu tofauti tofautu inawezekana uendeshaji wake ukatofautina hivo kuwa changamoto kwa askari kutumia.
Wanapewa mafunzo. Wana wasaidizi pia.
 
Ukiona hii barabarani jua ni Legion. Kikundi cha uasi cha Urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…