barnabas masoko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,298
- 659
Hahahaa hao Azov ndio wanaanza saiz pole mkuu hao ni wahuni hatari vitani america anawajua hao ndio maana hatii mguuKuna hiki kikundi kinamsaisia Urusi kinaitwa Chechen. Hawa ni raia wa Chechnya.Wao wanafanya propaganda na Uongo wa hali ya Juu. Mambo kama haya huwezi yafanya mbele ya Azov, wanakutuo roho. Hapa ni sehemu ambayo haina mapigano, ndo wanafsnya hivi ili wapost Social media. Wanapenda sifa balaa
View attachment 2217446
Huyu ndiye alikua mkuu wa like kindi la Wagner group.Ni kundi katili Sana inasemekana ni la Putin.Huyu ni Sniper wa Kimataifa wa kukodiwa. Kashapigana, Syria, Libya. Anajiita VAHA. safari hii akiipigania Urusi maeneo ya Donbas, Amtolewa roho ndani ya Mwili wake. Kabaki kiwiliwili chakula cha Minyoo. Wenzake wakiona Askari wa Ukraine wanakuja wakakimbia, Yeye akajifanya mbabe wa Vita
View attachment 2252123View attachment 2252124View attachment 2252125
Stugna PHizi Silaha zina nguvu. Zinachanachana kifaru kama karatasi
View attachment 2253148
Mkuu unawajua vizuri hao Azov?Hahahaa hao Azov ndio wanaanza saiz pole mkuu hao ni wahuni hatari vitani america anawajua hao ndio maana hatii mguu
SureHizi ni propaganda ndogo sana muandaaji hakujipanga na hakujua dunia imesogea mbele
Ni kundi la Wanajeshi wa kukodiwa. Ukiwataka wanakaja. Ni hela yako tu. Wamepigana sehemu mbalimbali.Huyu ndiye alikua mkuu wa like kindi la Wagner group.Ni kundi katili Sana inasemekana ni la Putin.
Duh...Huyu ni Sniper wa Kimataifa wa kukodiwa. Kashapigana, Syria, Libya. Anajiita VAHA. safari hii akiipigania Urusi maeneo ya Donbas, Amtolewa roho ndani ya Mwili wake. Kabaki kiwiliwili chakula cha Minyoo. Wenzake wakiona Askari wa Ukraine wanakuja wakakimbia, Yeye akajifanya mbabe wa Vita
View attachment 2252123View attachment 2252124View attachment 2252125
Safiii..Rais anawashukuru wote wanaosaidia kuilinda Ukraine dhidi ya wavamizi. Amewatembelea Frontline wa Zaporizhzhia
View attachment 2252136View attachment 2252137
🤣🤣🤣Urusi wanapanga kuleta Silaha mpya ya kisasa kama inavyo onekana.
View attachment 2252968
Hatari..Hizi Silaha zina nguvu. Zinachanachana kifaru kama karatasi
View attachment 2253148
Niliona sehemu , nikasema nikuuulize bahati nzuri umeniwahi.Meya kasema Mji wa Severodonetsk tumeshaurudisha mikononi mwa Ukraine
View attachment 2253893
Hapa ndio utajua Warussia ni watupu saana kuanzia logistics, Planning, vision, mission na hata moralView attachment 2253937MAITI YA JENERALI IMEFUNGWA KWENYE RAMBO?
Inatia huruma sana, Vitani wanatakiwa wawe na bags za kuwekea maiti, Mtu akifa anaingizwa kwenye begi zuri zipu inafungwa safi.Hapa ndio utajua Warussia ni watupu saana kuanzia logistics, Planning, vision, mission na hata moral