Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Inatia huruma sana, Vitani wanatakiwa wawe na bags za kuwekea maiti, Mtu akifa anaingizwa kwenye begi zuri zipu inafungwa safi.
So sad, sasa huyo General mshahara wake unaweza kuwa shs ngapi? Inaonyesha uduni sana wa maisha.
Askari wa Russia ni duni saana, yaani imagine hata ballistic helmet hawana na wako Frontline wamevaa mizura Kama wauza vitunguu wa uyole... Very unorganized.

Wamejivua nguo saana kwenye Hii vita yaani wakikutana hata na Germany hawa hawatoki ... Germany machine aweke full mziki na spirit yake ya kijeremani Russia inakuwa kama Mogadishu.

Wameniangusha Sana Russia, Askari Wana visimu vya itel Frontline Kama wacambodia inafikia hatua wanaiba Hadi washing machine za laki 2 na nusu? Loh!

Soldier wa USA akienda Frontline wao wanaiba multimillion dollar items na treasure sio kuiba ushuzi Kama wale askari mbuzi wa Russia.
 
Russia wana silaha ila wanajeshi hamna kitu, ukweli kabisa kwa silaha walizonazo hii vita ilitakiwa iwe imeisha.
Nawaheshimu sana Germany kwa jeshi bora na silaha, Askari wa Russia ni sawa na Mgambo tu, hawana thamani.
 
Russia wana silaha ila wanajeshi hamna kitu, ukweli kabisa kwa silaha walizonazo hii vita ilitakiwa iwe imeisha.
Nawaheshimu sana Germany kwa jeshi bora na silaha, Askari wa Russia ni sawa na Mgambo tu, hawana thamani.
Mkuu, usiamini Propaganda. Ubora wa Jeshi unaanzia kwa Wanajeshi wenyewe. Angalia Mishahara wanaypewa Frontline. Angalia rambirambi wanayopewa Familia ya Askari alokufa Vitani Ukriane.

Kuna Jamaa wa Intelejensia wa Uingereza kasema, Urusi ana Vifaa vya Jeshi vingi, ila vya kizamani. Havina shabaha. Hata hayo mabomu ya Nyuklia ya Kizamani, yameexpire. Hakuna Silaha hata moja za kijeshi za masafa Urusi wamefanya majaribio. Kasema wanajivunia Silaha za zamani za USSR.

Askari wa Urusi waliteka Mzigo mkubwa wa Javelin kule Donbas lakini hamna Mwanajeshi hata mmoja mwenye mafunzo ya kutumia hadi Ukraine wakazikomboa baada ya siku 20. Na waliokuwa wanajifunza waliuliwa. Ndo wale wanajeshi 80 waliokufa siku moja.
 
Huwezi amini kama hiki ni kifaru kimesambararishwa. Hakika tumeanza pata silaha kubwa kubwa
Your browser is not able to display this video.
 
Baada ya kupoteza vifaa vingi Ukraine, Urusi wanaleta Vifaru Vingine. Tutavitungua, komoja baada ya kingine hadi Waishiwe. Nusu ya hivi tutaviteka. Madogo Ijumaa wanahitimu mafunzo ya Silaha mpya za USA
Your browser is not able to display this video.
 
Drone inaenda kuwachungulia Urusi walipo jificha.
Your browser is not able to display this video.
 
Russia wana silaha ila wanajeshi hamna kitu, ukweli kabisa kwa silaha walizonazo hii vita ilitakiwa iwe imeisha.
Nawaheshimu sana Germany kwa jeshi bora na silaha, Askari wa Russia ni sawa na Mgambo tu, hawana thamani.
Silaha Mrusia ana silaha nyingi tu kizamani lakini sio deadly, digital na advanced Kama za magaharibi Hadi muda huu Mrusia anazishangaa Javelin na Howitzer zinavyomtwanga anashangaa kuona silaha za mfumo wa RPG ambazo ni digital yaani unaset longitude na latitude na mzigo una thermol sensor za kusense tanks za Mrusia then unafyatua Bomu ambalo lazima kifaru kichanike chanike Kama tissue.

March 4 javelin zilipiga mabomu 300 na vifaru 293 vya Mrusia viligeuka Chuma chakavu.

Mrusi mwenyewe anashangaa na hakutaajia Kama atakutana na silaha digital maana yeye bado Yuko analogy alichonacho yeye ni manuclear tu ambayo hawezi kuyatumia kwa Sasa maana kila mtu anayo na ukilitandika Hadi China anakuchenjia sababu na yeye bado anataka kuishi. Ubomoe Dunia kwa sababu ya ukoro wako?

Lastly, Mrusia ana masilaha mengi lakini yote makubwa jinga.. hana silaha ya infantry anayosumbua nayo..Hana!

Javelin imemfanya akakimbua Kiev Kama kimada. Anatwangwa na silaha ndogo ya kubeba begani lakini anti tank missile inasafiri unganisha viwwnja vya mpira hata 30. Ambayo ni almost 1.6 mile. Mamaee.

Lazma ukimbie mji. Unacheza na Mzungu wa Ulaya alietawala Dunia. Utaita Maji mma.
 
Baada ya kupoteza vifaa vingi Ukraine, Urusi wanaleta Vifaru Vingine. Tutavitungua, komoja baada ya kingine hadi Waishiwe. Nusu ya hivi tutaviteka. Madogo Ijumaa wanahitimu mafunzo ya Silaha mpya za USA
View attachment 2254387
Hivi vifaru dawa yake javelin tu! Vinakuwa laini Kama tissue. Unfortunately kila kitu kinaonekana kwenye satellite ya USA na UK ... Wanawaleta askari wao kwenye majeneza yao.

Javelin haijawahi kufeli kwenye kazi ya kubomoa Tanki. Mzigo una sensor zake. Unasubiri vijitank vya Mrusia.
 
Javelin ni most advanced, expensive and sophisticated digital anti tank missile in the world ambayo unaweza beba hata wewe begani tu lakini madhara yake na kishindo chake ni Cha kustaajabisha.

Ukiondoa Javelin ya USA Kuna mzigo mwingine unaitwa Israel spike wa Israeli. Ndio deadly anti tank missile in the world.

Hata ulete vifaru 100 vyote vinafwekwa. Ndio maana kumuacha adui auteke na aushikilie mzigo ni hatari na kwa gharama yeyote inabidi urejeshwe.

Ukraine wanaulinda saana na wanaufurahi zaidi sababu unaweza kupiga hata mile 1.6 mile kwa shabaha ile ile Kama huko na adui papo kwa papo sababu ya thermol sensor zake.
 
Hii imenishangaza kumbe hizo Javelin unaset tu halafu yenyewe inafuata target?Je ni lazima kifaru uwe unakiona?yaani kisiwe kimekingwa na kitu kama mti au mlima?
 
Hii VITA unaiona peke yako mkuu? Yaan vifaa vya kizamani afu wachukue 20% ya Eneo??
Are you sane???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…