Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Zelensky baada ya Kushukuru Nchi za Ulaya, awashukuru pia Azov. Hawa jamaa wana mbinu nyingi za Kivita. Hata wale wa Mariupol wangepata Silaha nzuri Mapema, Mrusi angechezea kichapo tu. Mtu ana kifaru lakini anakitelekeza na kukimbia kwa miguu🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Ujerumani wamebadili gia angani, wamesema kuwa hawatatuma M270 MLRs hadi baadaye sana kuliko ilivyodhaniwa.

Wajerumani wanasema mfumo wa silaha zao hauna software apdate kuwezesha kurusha makombora ya Marekani na Uingereza.
 
Huu ndio mfumo ni smart, advanced na makini zaidi wa kulinda anga Duniani.

Huu mtambo unaendeshwa na kompyuta hata Ukimuweka Sholo mwamba na Gigi money wauendeshe wanaweza ni rahisi Kama ku ban CD. Wewe kazi yako ni kuactivate na kuacha PC iwe on.... Wenyewe una detect automatically and uncontrolled na kujibu mashambulizi ndani ya sekunde kwa kuangamizaa mabomu yote yaliolekezwa kudondokea kwenye ardhi ya nchi husika.

Ikumbukwe muisrael hajawahi kufeli kwenye kutengeneza silaha Kali na Tata Duniani. Hajawahi kufeli.

Ukraine will be safe and sound.

Slava Ukraina [emoji1434]
 
Umezungumza kitu cha ukweli kabisa, nafikiri satelite nyingi zimeelekezwa Ukraine kumsaidia katika hii Vita, kila mrusi anachofanya kinakuwa monitored, na ndiyo maana anagongwa kama kiazi.
 
Urusi baada ya kuona Helkopta zao zinaaangushwa sana. Sasa wameamua kufuta alama ya Z/V/O. Wanadai zinasababisha kuonwa na maadui. Nimecheka sana. Hii ni sawa na kujikinga jua kwa mikono. Hawajui sasa hivi tuna mitambo ya kunusa ndege za adui🤣🤣🤣. Walituchukulia poa
 
Hapa Urusi walikuwa wanaona wamejificha na kuweka Mtego ili tukija watilipue. Siku hizi tunatanguliza Drone kuangalia Usalama kabla ya kusonga mbele.
Tuliwaangamiza kwa mbali tu
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…