Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Yule Sniper wetu wanaodai kafa. Hii ilikuwa Tarehe 21 Machi 2022. Afghanistan ndo Walimpachika jina la "Wali" wakimanisha Mlinzi. Ni raia wa Canada.
 
Huyu ndo WALI, Mdunguaji au Sniper mwenye shabaha sana Duniani. Wanadai ana rekodi ya kuua watu 40 kwa Siku. Wali anaweza kukudungua Ukiwa umbali wa Kilometa 3. Yaani akiwa Magomeni anaweza akapatia Shabaha kwa mtu aliyesimama Kariakoo.
Your browser is not able to display this video.
 
Hii ni habari mbaya sana kwa warusi[emoji16]
 
Ile Trophy Tiger(GAZ-2330 Tigr Light Armoured Vehicle ) ilokuwa imepata pacha, baadaye Warusi walifurumushwa na Risasi za Ukraine wakakimbia na kuiacha. Ukraine wakajiokotea. Sasa itatumika dhidi yao.
Your browser is not able to display this video.
 
Kama ukitaka kuona Kifaru cha Ukraine aina ya 203-millimeter 2S7 Pion guns kinavyofanya kazi, angalia hii Video
Your browser is not able to display this video.
 
Hii ni supply truck ya Urusi. Mwanajeshi akionesha kofia ya Adui nadhani unaelewa anachomanisha. Huyu ni Askari wa Ukraine. Tarehe 21 Machi 2022.
 
Tarehe 21 Machi 2022, Majeshi ya Urusi yalirudishwa Nyuma katika mji wa Mykolaiv
 
Leo tarehe 22 Machi 2022, kifaru cha Urusi aina ya BTR-80 kikiwa kimeharibiwa maneno ya Mykolaiv
 
Jan tarehe 21 Machi 2022, Vikosi vya Ukraine vilfanikiwa kuteka Vifaru aina ya 2S19 MSTA maeneo ya Mykolaiv
 
Ukraine shukuru NATO, putin angekunywa supu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…