Ikibidi hadi crimeaMrusi Hastahili huruma hata kidogo kwani timbwili kalianzisha mwenyewe na kwa hiyo majimbo yoooote anyang'anywe kabisa yarudi Ukraine na pia alipie uharibifu wote aliousababisha Ukraine.
Ok,asanteHapana Mkuu, baada USSR kuanguka, baadhi ya maeneo yalibadilishwa majina. Hapa ni Stakhanov (Kadiivka au Kadiyevka) Mkoani Luhansk Nchini Ukraine
1. US, Afrika(North),Nchi za mashariki ya kati (Uarabuni) na sehemu nyingine wanayo mafuta ila bei zao zipo juu ukilinganisha na yale yanayotoka kwa haya mataifa mawili.Mimi ninacholaumu ilikuwaje dunia nzima tunategemea mafuta,gesi na nafaka kutoka kwa haya mataifa mawili....yaani hadi UK na USA pia wao....aisee wacha tukome...
Duh! Hii mashine inabeba risasi ngapi? (Sijaona magazine)
Aisee...SafiiiiHata uwe shimoni ule mzigo unafika mapema tu kwenye target.
Check Hii illustration hapaView attachment 2254601
Wanakung'utwa huko halafu jamaa wanadanganyana hapa.Waoneeni huruma wa ukraine, according to raisi wao yule comedian ni kuwa kwenye uwanja wa vita kila siku wanapoteza wanajeshi 200!
Mkuu, Ungeweka na ka-uthibitisho walau tungeamini zaidi kwamba wanakung'utwa na sio chai hilo ulisemalo.Wanakung'utwa huko halafu jamaa wanadanganyana hapa.