Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mimi ninacholaumu ilikuwaje dunia nzima tunategemea mafuta,gesi na nafaka kutoka kwa haya mataifa mawili....yaani hadi UK na USA pia wao....aisee wacha tukome...
 
Urusi wamepaniki. Hawana mpango wala Plan. Tunajiokotea. Tutawamaliza, ngoja waendelee kuleta sifa
IMG_20220610_231450_731.jpg
IMG_20220610_231447_531.jpg
IMG_20220610_231444_027.jpg
IMG_20220610_231439_880.jpg
IMG_20220610_231442_214.jpg
 
Wiki hii Urusi wameondoka vichwa chini. Na huu ni mwanzo. Ndo kwanza madogo wanaendelea kumaliza mazoezi ya kutumia silaha za Magharibi. Kwa Urusi kila leo ni afadhali ya jana
 
URUSI: Mkoani Bryansk, Wilayani Klintsovsky, Kambi ya Jeshi inawaka moto. LEGION
 
Leo nipost kidogo Kikosi cha LEGION. Hiki ni kikosi kilichoasi Jeshi la Urusi. Wamo ndani ya Urusi wengine wanasaidia Ukraine kuipoga Urusi. Wapo Wanakeshi, Wahandisi, Mafundi, Madereva, Marubani nk
IMG_20220611_105330_551.jpg
IMG_20220611_105347_660.jpg
IMG_20220611_105351_615.jpg
IMG_20220611_105510_440.jpg
IMG_20220611_105540_469.jpg
IMG_20220611_105551_601.jpg
 
Mimi ninacholaumu ilikuwaje dunia nzima tunategemea mafuta,gesi na nafaka kutoka kwa haya mataifa mawili....yaani hadi UK na USA pia wao....aisee wacha tukome...
1. US, Afrika(North),Nchi za mashariki ya kati (Uarabuni) na sehemu nyingine wanayo mafuta ila bei zao zipo juu ukilinganisha na yale yanayotoka kwa haya mataifa mawili.
2. Wawekezaji wakubwa kutoka nje waliwekeza sana katika sekta hiyo katika mataifa haya mawili.
3. Zipo Nishati mbadala zitokanazo na mimea e.g. Jatropha lakini hazijawa fully utilised ila tumekuwa tegemezi mno kwa bidhaa hiyo tukajisahau kwamba iko siku mambo yanaweza kugeuka - kwa hiyo wacha watupige tu.
Isingekuwa sisi waTz tuna longolongo nyingi ikiwemo upigaji(Ujanjaujanja)mafuta, gesi, chuma, mkaa wa mawe na madini mengine ya Nishati(Uranium) tusingebabaika. Lakini sasa kweli wacha tukome....
 
Waoneeni huruma wa ukraine, according to raisi wao yule comedian ni kuwa kwenye uwanja wa vita kila siku wanapoteza wanajeshi 200!
Wanakung'utwa huko halafu jamaa wanadanganyana hapa.
 
Nawakumbusha kwa siku wanakufa Wana jeshi wa Ukraine zaidi ya 200 sija sema mimi ni zelensky na 23% ya Ukraine ipo mikononi mwa Urusi



Endeleeni kujipooza maumivu na vipicha vyenu
 
Back
Top Bottom