figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #2,881
Silaha gani mpya Sasa hapo!? 😁😁😁Hawa ndo Wale Azov waliofanikiwa kutoroka Azovstal kule Mariupol. Wamerudishwa Darasani. Hapa Wanafundishwa kutumia Silaha mpya za kisasa za Marekani. Hii ni wiki ya Pili. Labda Jumatatu wanaweza ingia mzigoni Frontline
View attachment 2263118
Waliwatanguliza Ukraine. Wameshaona hawana nguvu. Yaani hii mieizi mitatu imetotosha kuonesha udhaifu wa Urusi. Soon wataanza kupigwa kata funuaNa Leo NATO under USA wamesema muda wowote wanaingilia kati kimsaidia Ukurein.
HIMARS zitaingia lini Frontline ?....hizi zitawapunguza Sana kasi wavamizi.Silaha za CAESAR howitzers kutoka Ufaransa, zimefika Frontline. Sasa nisikilizia Muziki wake Weekend hii🤣🤣
View attachment 2263453
Ndio. Saa nyingine wakizidiwa wanakimbilia kwao wanajipanga na kurusi. Tunataka kusiwepo na kukimbia. Ukishondwa unaweka mikono juu. Azov wao wanasema hawataki mikono juu bali wanataka roho za Warusi bila kuangalia SuraUkraine wanataka wakate daraja kuelekea Urusi maana washapata specification zake
HIMARS haziwezi kwenda Frontline haraka. Kwanza leo ndo kundi la kwanza la Wanajeshi 60 wa Ukraine wanahitimu mafunzo ya kuzitumia.HIMARS zitaingia lini Frontline ?....hizi zitawapunguza Sana kasi wavamizi.
Huu msafara mbona mkubwa sana,ukipata details tuletee vifaru na magari mangapi yameketekea bila kusahau idadi ya wavamizi waliokufaMsafara wote huu wa Jeshi la Urusi ulipotezwa Mungu Mkubwa sana.View attachment 2263510
Mkuu, Vita ni akili sio manguvu. Wao walikuwa wanahesabu urefu wa Msafara sijui ni Km 6, sisi tunatamani ifike km 20 ili tuyalipue kwa pamoja.Msafara wote huu wa Jeshi la Urusi ulipotezwa Mungu Mkubwa sana.View attachment 2263510
Hii picha sio ya Leo. Hawawezi rudia hilo kosa. Sijajua picha katoa wapi lakini hayo ni Maeneo ya Kyiv. Hii picha itakuwa ya FebruariHuu msafara mbona mkubwa sana,ukipata details tuletee vifaru na magari mangapi yameketekea bila kusahau idadi ya wavamizi waliokufa