Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Aisee, leo hawa Wavamizi wametupelekea Moto hapa Dolyna na Berestove, hadi tumeretreat. Hapa tumepoteza leo. Ila tunajipanga viziri. Tumepungukiwa Silaha za Masafa Marefu. Kama zikifika Jumamosi, tutawapelekea moto na kuwafurumusha tena hadi Popasna
20220617_000337.jpg
 
Ghala la Siraha la Urusi linawaka moto. Walipanga wazitumie kutuua, tumewawahi
 
Hawa ndo Wale Azov waliofanikiwa kutoroka Azovstal kule Mariupol. Wamerudishwa Darasani. Hapa Wanafundishwa kutumia Silaha mpya za kisasa za Marekani. Hii ni wiki ya Pili. Labda Jumatatu wanaweza ingia mzigoni Frontline
View attachment 2263118
Silaha gani mpya Sasa hapo!? 😁😁😁

Huu Uzi unachekesha
 
Silaha za CAESAR howitzers kutoka Ufaransa, zimefika Frontline. Sasa nisikilizia Muziki wake Weekend hii🤣🤣
 
Ukraine wanataka wakate daraja kuelekea Urusi maana washapata specification zake
Ndio. Saa nyingine wakizidiwa wanakimbilia kwao wanajipanga na kurusi. Tunataka kusiwepo na kukimbia. Ukishondwa unaweka mikono juu. Azov wao wanasema hawataki mikono juu bali wanataka roho za Warusi bila kuangalia Sura
 
HIMARS zitaingia lini Frontline ?....hizi zitawapunguza Sana kasi wavamizi.
HIMARS haziwezi kwenda Frontline haraka. Kwanza leo ndo kundi la kwanza la Wanajeshi 60 wa Ukraine wanahitimu mafunzo ya kuzitumia.

Nasikia Marekani inadai itaingiza Jeshi lake Ukraine kulinda zana zao za Jeshi zisichukuliwe na Urusi. Kwani sasa wanaanza kuleta Mzigo Mkubwa.
20220617_101918.jpg
20220617_102239.jpg
 
B-8M1 80 mm rocket launcher ikiwa inafyatua Makombora aina ya 80mm S-8 model rockets. Ilifungwa kwenye tela. Urusi kazi wanayo
 
Huu msafara mbona mkubwa sana,ukipata details tuletee vifaru na magari mangapi yameketekea bila kusahau idadi ya wavamizi waliokufa
Hii picha sio ya Leo. Hawawezi rudia hilo kosa. Sijajua picha katoa wapi lakini hayo ni Maeneo ya Kyiv. Hii picha itakuwa ya Februari
 
Back
Top Bottom