figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #3,101
Asante kwa kuwaambia. Nikiongea mimi naonekana Muongo. Ngoja niwawekee picha ya Drone ilofanya mambo.Refinery ndani ya Urusi imepigwa na drone
Afu wamepigwa na drone ya Kirusi, yaonesha ilidakwa ikarudishwa kwao.Asante kwa kuwaambia. Nikiongea mimi naonekana Muongo. Ngoja niwawekee picha ya Drone ilofanya mambo.
Hapa ni Mkoani Rostov, Nchini Urusi. Urusi ni dhaifu sana hauwezi hata kujilinda yenyewe. Drone kama hii wanashindwa kuiona?Hahahaa...
View attachment 2268789
Kamikaze drone
Hamna kitu. Ni propaganda tu. Urusi wanakamata Mgambo tu wanajidai siku nzima. Badaye nikipata nafasi mimi nitapost 5 tulioua wiki hii ndani ya siku mbiliKamikaze drone
Waambie watuoneshe hata picha ya General mmoja kati ya wale 50 inaosema imeua
Wanao kule ni full kufarijiana[emoji23]Huu uzi ni mwiba mchungu sana kwa warusi wa yombo. Anzisheni nanyi wenu kama huu
Hahaha team dictators hoiAfu wamepigwa na drone ya Kirusi, yaonesha ilidakwa ikarudishwa kwao.
Wamebaki wanashangaa inashuka kwenye refinery
Hay yalikuwa ya wavietnam
Hivi ndo napendaAsante Drone. Sasa hivi tutawapiga hadi moscow... Chezea Legion wewe
View attachment 2268792
Hahahahaaa... Zile za Wavetnam zilikuwa M2 Mortar na M19 Mortar za kupiga Umbali hadi km 1. Hizi M224 Mortar ni za kisasa zaidi na zinapiga umbali hadi wa km 3. Zinawasaidia sana Jeshi la Ardhini.Hay yalikuwa ya wavietnam