Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Refinery ndani ya Urusi imepigwa na drone
Asante kwa kuwaambia. Nikiongea mimi naonekana Muongo. Ngoja niwawekee picha ya Drone ilofanya mambo.

Hapa ni Mkoani Rostov, Nchini Urusi. Urusi ni dhaifu sana hawawezi hata kujilinda yenyewe. Drone kama hii wanashindwa kuiona?Hahahaa...
 
Asante Drone. Sasa hivi tutawapiga hadi moscow... Chezea Legion wewe
FV2mERTWIAEUOWG.jpg
 
Asante kwa kuwaambia. Nikiongea mimi naonekana Muongo. Ngoja niwawekee picha ya Drone ilofanya mambo.

Hapa ni Mkoani Rostov, Nchini Urusi. Urusi ni dhaifu sana hauwezi hata kujilinda yenyewe. Drone kama hii wanashindwa kuiona?Hahahaa...
View attachment 2268789
Afu wamepigwa na drone ya Kirusi, yaonesha ilidakwa ikarudishwa kwao.
Wamebaki wanashangaa inashuka kwenye refinery
 
Back
Top Bottom