figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,101
Asante kwa kuwaambia. Nikiongea mimi naonekana Muongo. Ngoja niwawekee picha ya Drone ilofanya mambo.Refinery ndani ya Urusi imepigwa na drone
Hapa ni Mkoani Rostov, Nchini Urusi. Urusi ni dhaifu sana hawawezi hata kujilinda yenyewe. Drone kama hii wanashindwa kuiona?Hahahaa...