Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi ni Vibaka wakubwa. Wanajeshi wao sijui wanafundishwa nini. Kwanini wezi hivi?
Your browser is not able to display this video.
 
HIMARS zipo Frontline kama kawa
View attachment 2275449
Sijui ni kwanini wanakuwa wanayatembeza kwa pamoja ila mimi ningeona ni bora yawe yanakaa mbari mbari ili Adui asije akayalenga yote kwa pamoja

Au usikute wanayarusha mpakani mwa Poland alfu wakisha maliza yanaenda kulala poland[emoji16][emoji16]

Na urusi awezi Rusha ata jiwe Poland

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Moja ni rahisi kuteka. Sababu inakuwa haina backup. Wamarekani wanazilinda sana hivyo kuzilipua inawezekana lakini kwa mbinde. Juzi nliona zilifanya kazi Usiku. Ni sawa na Urusi inavyolinda Meli zake, zipo unaziona tatizo ni kuzifikia. Hata haya Magari hivyo hivyo.
 
Leo nimebahatika kupata Video ya Frontline ya Kikosi cha LEGION, Waasi wa Urusi wanaotaka kumuondoa Madarakani Putin pia wanaisaidia Ukraine kujilinda dhidi ya Mvamizi. Hapa Walikuwa wanashambuliwa na Mortar kutoka Vikosi cha Urusi mpakani mwa Ukraine na Urusi.
Your browser is not able to display this video.
 
Sawa nimekupta mkuu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…