figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,301
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui ni kwanini wanakuwa wanayatembeza kwa pamoja ila mimi ningeona ni bora yawe yanakaa mbari mbari ili Adui asije akayalenga yote kwa pamojaHIMARS zipo Frontline kama kawa
View attachment 2275449
Hawa kweli Wana huruma hadi wanatibu jeraha [emoji23][emoji23]Hawa Askari wanahuruma. Azov wakikukamata hawana hata muda wa kukutibu jeraha, wanachoma sindano hapo hapo
View attachment 2275438
Moja ni rahisi kuteka. Sababu inakuwa haina backup. Wamarekani wanazilinda sana hivyo kuzilipua inawezekana lakini kwa mbinde. Juzi nliona zilifanya kazi Usiku. Ni sawa na Urusi inavyolinda Meli zake, zipo unaziona tatizo ni kuzifikia. Hata haya Magari hivyo hivyo.Sijui ni kwanini wanakuwa wanayatembeza kwa pamoja ila mimi ningeona ni bora yawe yanakaa mbari mbari ili Adui asije akayalenga yote kwa pamoja
Au usikute wanayarusha mpakani mwa Poland alfu wakisha maliza yanaenda kulala poland[emoji16][emoji16]
Na urusi awezi Rusha ata jiwe Poland
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sawa nimekupta mkuuMoja ni rahisi kuteka. Sababu inakuwa haina backup. Wamarekani wanazilinda sana hivyo kuzilipua inawezekana lakini kwa mbinde. Juzi nliona zilifanya kazi Usiku. Ni sawa na Urusi inavyolinda Meli zake, zipo unaziona tatizo ni kuzifikia. Hata haya Magari hivyo hivyo.